the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Ndugu bado mpya sana kwenye kilimo ,achana na booster hiyo ni sawa na glucose kwa mwanadamu ,je unaweza ishi kwa kutegemea glucose !!????Booster gani itafaa ndugu
Tumia manual ya uzalishaji wa nyanya nimeituma kwenye hii page ina madawa na ina mbolea gani uweke kwa kila shina na kiasi gani ,sasa kuongelea one thing muda wote nashindwa ndugu yangu ,fuata manual then niulize swali toka kwenye manual sababu manual haina sehemu imetaja upige booster .
Sasa kama kufuata manual inakua vigumu hapo nashindwa kukusaidia rafiki yangu