Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Zina wiki 6
Dawa nimepiga mbolea nimeweka npk
Na
Dap
Kawaida huwaga ni wiki tatu au nne unaweza zipeleka shambani!

Ila ukiangalia huo unjano wa majani kuna uwezekano kuna tatizo la mbolea au magonjwa!

Nakushauri pitia juu kwenye threads zilizo kwenye stick utakuta uzi wa kilimo cha mboga ... Kuna jamaa kaelezea sana kuhusu kilimo cha nyanya!!
 
Kuna ulazima wowote wakuweka matuta ndio upandikize nyanya au naweza chimba mashimo eneo like freshi naje baada ya kupandikiza mbolea gani niweke kwa muda gani toka kupandikizwa
 
Sawa mkuu
 
Asante mkuu je kunaulazima wakuweka matuta kabla ya kuzipandikiza
 
Kuna ulazima wowote wakuweka matuta ndio upandikize nyanya au naweza chimba mashimo eneo like freshi naje baada ya kupandikiza mbolea gani niweke kwa muda gani toka kupandikizwa
Wanapendekeza utumie DAP au yaramila winner wakati wa kupanda!! Binafsi natumiaga yaramiller winner naona iko njema!
 
View attachment 519106

Naweza kuanza kupandikiza hizi nyanya

Mkuu pole sana...hapo inajizihirisha kuwa hukupanda kwa kufuata utaratibu....hukuweka mbolea yoyote....pengine ata booster hukupiga kipindi unapanda...sasa chukua booster. Piga hapo...tafuta dawa ivory...ridomil gold....piga...hapo kisha tafuta mbolea ya can...changanya na maji mwagia hiyo miche....ipe wiki ya ziada hakikisha unamwagia maji asubuhi na mchana...eneo...utakalo enda kupanda hakikisha...unaweka mbole kwenye matuta mwaga mbolea ya kutosha mbolea ya ng'ombe au kuku inafaa kama gharama hutozimudu...
eb6273757821e602725d20c031573e3e.jpg

Miche hiyo ina wiki nne tu...chakula kikubwa ni maji booster na mbolea..kama ni samadi....isiwe mbichi
...hakikisha una mwagia maji ya kutosha...kwenye matuta wiki ya kwanza mwagia kwa mfurulizo...asubuhi na jioni...usisahau kupiga dawa za ukungu

df81d36e1503cbf64bc0c4a610acc8c5.jpg

Usipo piga dawa yatakukuta hayo...hapo imeshambuliwa na fungi...ambaye amesababisha fangasi kwenye huo mmea hivyo dawa ni muhimu kwa kilimo cha faida
c25978bcb7f383e57ada0b999676ae4d.jpg

Wiki ya sita...mche ulianza kutoa vitumba...nilipuliza mbolea ya urea...ndo ilinifanyia kitu kibaya sana mimea iliungua na vitumba vilikauka...hivyo nakushauri ukitumia mbolea za viwandani kama ukizichanganya na maji hakikisha zinayeyuka kabisa kisha nyunyizia kwenye udongo na si kwenye majani ya mmea...
8232724e251c4f4ee9b9bb797e64bd55.jpg

Hapo miche ina wiki nane tu...imetoa matunda...kama unavyoyaona kutokana na kushindwa kupiga dawa mapema miche mingi yenye matunda niliipoteza kwani magonjwa mengi ya mazao yapo kama ya binaadam nayo huambukizana...hivyo ukiona dalili mbaya kwa mche ni bora ukauondoa na kuufukia mbali
a563491dc4381daaf467651946a34da0.jpg

Ila kikubwa ardhi ukiitunza na yenyewe itakutunza...usitumie mbolea au dawa yoyote ambayo hujaelewa matumizi yake...hakikisha unaponunua mbolea unamuuliza muuzaji juu ya matumizi yake fanya hivyo hivyo kwa dawa...
 
Miche hiyo ina wiki 2 na siku 3 tu...chakula kikubwa ni maji booster na mbolea..kama ni samadi....isiwe mbichi
...hakikisha una mwagia maji ya kutosha...kwenye matuta wiki ya kwanza mwagia kwa mfurulizo...asubuhi na jioni...usisahau kupiga dawa za ukungu

df81d36e1503cbf64bc0c4a610acc8c5.jpg

Usipo piga dawa yatakukuta hayo...hapo imeshambuliwa na fungi...ambaye amesababisha fangasi kwenye huo mmea hivyo dawa ni muhimu kwa kilimo cha faida
c25978bcb7f383e57ada0b999676ae4d.jpg

Wiki ya 4 na siku 5...mche ulianza kutoa vitumba...nilipuliza mbolea ya urea...ndo ilinifanyia kitu kibaya sana mimea iliungua na vitumba vilikauka...hivyo nakushauri ukitumia mbolea za viwandani kama ukizichanganya na maji hakikisha zinayeyuka kabisa kisha nyunyizia kwenye udongo na si kwenye majani ya mmea...
8232724e251c4f4ee9b9bb797e64bd55.jpg

Hapo miche ina wiki 6 tu...imetoa matunda...kama unavyoyaona kutokana na kushindwa kupiga dawa mapema miche mingi yenye matunda niliipoteza kwani magonjwa mengi ya mazao yapo kama ya binaadam nayo huambukizana...hivyo ukiona dalili mbaya kwa mche ni bora ukauondoa na kuufukia mbali
a563491dc4381daaf467651946a34da0.jpg

Ila kikubwa ardhi ukiitunza na yenyewe itakutunza...usitumie mbolea au dawa yoyote ambayo hujaelewa matumizi yake...hakikisha unaponunua mbolea unamuuliza muuzaji juu ya matumizi yake fanya hivyo hivyo kwa dawa...
 
Mkuu pole sana...hapo inajizihirisha kuwa hukupanda kwa kufuata utaratibu....hukuweka mbolea yoyote....pengine ata booster hukupiga kipindi unapanda...sasa chukua booster. Piga hapo...tafuta dawa ivory...ridomil gold....piga...hapo kisha tafuta mbolea ya can...changanya na maji mwagia hiyo miche....ipe wiki ya ziada hakikisha unamwagia maji asubuhi na mchana...eneo...utakalo enda kupanda hakikisha...unaweka mbole kwenye matuta mwaga mbolea ya kutosha mbolea ya ng'ombe au kuku inafaa kama gharama hutozimudu...
eb6273757821e602725d20c031573e3e.jpg

Miche hiyo ina wiki nne tu...chakula kikubwa ni maji booster na mbolea..kama ni samadi....isiwe mbichi
...hakikisha una mwagia maji ya kutosha...kwenye matuta wiki ya kwanza mwagia kwa mfurulizo...asubuhi na jioni...usisahau kupiga dawa za ukungu

df81d36e1503cbf64bc0c4a610acc8c5.jpg

Usipo piga dawa yatakukuta hayo...hapo imeshambuliwa na fungi...ambaye amesababisha fangasi kwenye huo mmea hivyo dawa ni muhimu kwa kilimo cha faida
c25978bcb7f383e57ada0b999676ae4d.jpg

Wiki ya sita...mche ulianza kutoa vitumba...nilipuliza mbolea ya urea...ndo ilinifanyia kitu kibaya sana mimea iliungua na vitumba vilikauka...hivyo nakushauri ukitumia mbolea za viwandani kama ukizichanganya na maji hakikisha zinayeyuka kabisa kisha nyunyizia kwenye udongo na si kwenye majani ya mmea...
8232724e251c4f4ee9b9bb797e64bd55.jpg

Hapo miche ina wiki nane tu...imetoa matunda...kama unavyoyaona kutokana na kushindwa kupiga dawa mapema miche mingi yenye matunda niliipoteza kwani magonjwa mengi ya mazao yapo kama ya binaadam nayo huambukizana...hivyo ukiona dalili mbaya kwa mche ni bora ukauondoa na kuufukia mbali
a563491dc4381daaf467651946a34da0.jpg

Ila kikubwa ardhi ukiitunza na yenyewe itakutunza...usitumie mbolea au dawa yoyote ambayo hujaelewa matumizi yake...hakikisha unaponunua mbolea unamuuliza muuzaji juu ya matumizi yake fanya hivyo hivyo kwa dawa...
Mkuu nimeisha bugi sana sasa umri wambegu umeenda zitakua na faida tena au niachanenazo mbolea ya can nichanganye na boster na ivory 72 nipige pamoja
 
View attachment 519106
Naweza kuanza kupandikiza hizi nyanya
Mkuu pole sana...hapo inajizihirisha kuwa hukupanda kwa kufuata utaratibu....hukuweka mbolea yoyote....pengine ata booster hukupiga kipindi unapanda...sasa chukua booster. Piga hapo...tafuta dawa ivory...ridomil gold....piga...hapo kisha tafuta mbolea ya can...changanya na maji mwagia hiyo miche....ipe wiki ya ziada hakikisha unamwagia maji asubuhi na mchana...eneo...utakalo enda kupanda hakikisha...unaweka mbole kwenye matuta mwaga mbolea ya kutosha mbolea ya ng'ombe au kuku inafaa kama gharama hutozimudu....hakikisha una mwagia maji ya kutosha...kweny
Mkuu nimeisha bugi sana sasa umri wambegu umeenda zitakua na faida tena au niachanenazo mbolea ya can nichanganye na boster na ivory 72 nipige pamoja
Usikate tamaa...anza kuilisha maji kwa wingi ....
mbolea weka kila wiki...yap changanya...mbolea..na dawa ....
...
...
booster piga kivyake maana mbole nyingine huathiri mmea hasa majani...hivyo mbole puliza kwenye ardhi pasipo kugusa majani...au changanya booster na dawa hapo si mbaya kupurizia majani dawa...huo mchanganyiko wa booster na dawa unaweza kupuliza mche wote pamoja na ardhini
 
kuna hizi mbegu zinaitwa ASSILA nasikia ndio mkombozi kwa wakulima hasa wa morogoro
Yap....ila kabla huja nunua mbegu hakikisha unafanya uchunguzi wa kina mbegu nyingine ni ghali mno kuhudumia
 
Back
Top Bottom