kisanganyakiswata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 1,299
- 552
Zina wiki 6Zina wiki ngapi? Ushawahi ziwekea mbolea? Dawa ya wadudu ulipiga lini??
Dawa nimepiga mbolea nimeweka npk
Na
Dap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zina wiki 6Zina wiki ngapi? Ushawahi ziwekea mbolea? Dawa ya wadudu ulipiga lini??
Kawaida huwaga ni wiki tatu au nne unaweza zipeleka shambani!Zina wiki 6
Dawa nimepiga mbolea nimeweka npk
Na
Dap
Sawa mkuuKawaida huwaga ni wiki tatu au nne unaweza zipeleka shambani!
Ila ukiangalia huo unjano wa majani kuna uwezekano kuna tatizo la mbolea au magonjwa!
Nakushauri pitia juu kwenye threads zilizo kwenye stick utakuta uzi wa kilimo cha mboga ... Kuna jamaa kaelezea sana kuhusu kilimo cha nyanya!!
Asante mkuu je kunaulazima wakuweka matuta kabla ya kuzipandikizaKawaida huwaga ni wiki tatu au nne unaweza zipeleka shambani!
Ila ukiangalia huo unjano wa majani kuna uwezekano kuna tatizo la mbolea au magonjwa!
Nakushauri pitia juu kwenye threads zilizo kwenye stick utakuta uzi wa kilimo cha mboga ... Kuna jamaa kaelezea sana kuhusu kilimo cha nyanya!!
Ni system nzuri kuweka shambani kwa matuta japo itategemea ukubwa wa eneo na njia ya umwagiliaji utayotumia!Asante mkuu je kunaulazima wakuweka matuta kabla ya kuzipandikiza
Wanapendekeza utumie DAP au yaramila winner wakati wa kupanda!! Binafsi natumiaga yaramiller winner naona iko njema!Kuna ulazima wowote wakuweka matuta ndio upandikize nyanya au naweza chimba mashimo eneo like freshi naje baada ya kupandikiza mbolea gani niweke kwa muda gani toka kupandikizwa
Kuna ulazima wowote wakuweka matuta ndio upandikize nyanya au naweza chimba mashimo eneo like freshi naje baada ya kupandikiza mbolea gani niweke kwa muda gani toka kupandikizwa
View attachment 519106
Naweza kuanza kupandikiza hizi nyanya
Cc kilimomaarifa.tajiriAsante mkuu je kunaulazima wakuweka matuta kabla ya kuzipandikiza
Mkuu pole sana...hapo inajizihirisha kuwa hukupanda kwa kufuata utaratibu....hukuweka mbolea yoyote....pengine ata booster hukupiga kipindi unapanda...sasa chukua booster. Piga hapo...tafuta dawa ivory...ridomil gold....piga...hapo kisha tafuta mbolea ya can...changanya na maji mwagia hiyo miche....ipe wiki ya ziada hakikisha unamwagia maji asubuhi na mchana...eneo...utakalo enda kupanda hakikisha...unaweka mbole kwenye matuta mwaga mbolea ya kutosha mbolea ya ng'ombe au kuku inafaa kama gharama hutozimudu...
![]()
Miche hiyo ina wiki 2 na siku 3 tu...chakula kikubwa ni maji booster na mbolea..kama ni samadi....isiwe mbichi
...hakikisha una mwagia maji ya kutosha...kwenye matuta wiki ya kwanza mwagia kwa mfurulizo...asubuhi na jioni...usisahau kupiga dawa za ukungu
![]()
Usipo piga dawa yatakukuta hayo...hapo imeshambuliwa na fungi...ambaye amesababisha fangasi kwenye huo mmea hivyo dawa ni muhimu kwa kilimo cha faida
![]()
Wiki ya 4 na siku 5...mche ulianza kutoa vitumba...nilipuliza mbolea ya urea...ndo ilinifanyia kitu kibaya sana mimea iliungua na vitumba vilikauka...hivyo nakushauri ukitumia mbolea za viwandani kama ukizichanganya na maji hakikisha zinayeyuka kabisa kisha nyunyizia kwenye udongo na si kwenye majani ya mmea...
![]()
Hapo miche ina wiki 6 tu...imetoa matunda...kama unavyoyaona kutokana na kushindwa kupiga dawa mapema miche mingi yenye matunda niliipoteza kwani magonjwa mengi ya mazao yapo kama ya binaadam nayo huambukizana...hivyo ukiona dalili mbaya kwa mche ni bora ukauondoa na kuufukia mbali
![]()
Ila kikubwa ardhi ukiitunza na yenyewe itakutunza...usitumie mbolea au dawa yoyote ambayo hujaelewa matumizi yake...hakikisha unaponunua mbolea unamuuliza muuzaji juu ya matumizi yake fanya hivyo hivyo kwa dawa...
Mkuu nimeisha bugi sana sasa umri wambegu umeenda zitakua na faida tena au niachanenazo mbolea ya can nichanganye na boster na ivory 72 nipige pamojaMkuu pole sana...hapo inajizihirisha kuwa hukupanda kwa kufuata utaratibu....hukuweka mbolea yoyote....pengine ata booster hukupiga kipindi unapanda...sasa chukua booster. Piga hapo...tafuta dawa ivory...ridomil gold....piga...hapo kisha tafuta mbolea ya can...changanya na maji mwagia hiyo miche....ipe wiki ya ziada hakikisha unamwagia maji asubuhi na mchana...eneo...utakalo enda kupanda hakikisha...unaweka mbole kwenye matuta mwaga mbolea ya kutosha mbolea ya ng'ombe au kuku inafaa kama gharama hutozimudu...
![]()
Miche hiyo ina wiki nne tu...chakula kikubwa ni maji booster na mbolea..kama ni samadi....isiwe mbichi
...hakikisha una mwagia maji ya kutosha...kwenye matuta wiki ya kwanza mwagia kwa mfurulizo...asubuhi na jioni...usisahau kupiga dawa za ukungu
![]()
Usipo piga dawa yatakukuta hayo...hapo imeshambuliwa na fungi...ambaye amesababisha fangasi kwenye huo mmea hivyo dawa ni muhimu kwa kilimo cha faida
![]()
Wiki ya sita...mche ulianza kutoa vitumba...nilipuliza mbolea ya urea...ndo ilinifanyia kitu kibaya sana mimea iliungua na vitumba vilikauka...hivyo nakushauri ukitumia mbolea za viwandani kama ukizichanganya na maji hakikisha zinayeyuka kabisa kisha nyunyizia kwenye udongo na si kwenye majani ya mmea...
![]()
Hapo miche ina wiki nane tu...imetoa matunda...kama unavyoyaona kutokana na kushindwa kupiga dawa mapema miche mingi yenye matunda niliipoteza kwani magonjwa mengi ya mazao yapo kama ya binaadam nayo huambukizana...hivyo ukiona dalili mbaya kwa mche ni bora ukauondoa na kuufukia mbali
![]()
Ila kikubwa ardhi ukiitunza na yenyewe itakutunza...usitumie mbolea au dawa yoyote ambayo hujaelewa matumizi yake...hakikisha unaponunua mbolea unamuuliza muuzaji juu ya matumizi yake fanya hivyo hivyo kwa dawa...
Mkuu pole sana...hapo inajizihirisha kuwa hukupanda kwa kufuata utaratibu....hukuweka mbolea yoyote....pengine ata booster hukupiga kipindi unapanda...sasa chukua booster. Piga hapo...tafuta dawa ivory...ridomil gold....piga...hapo kisha tafuta mbolea ya can...changanya na maji mwagia hiyo miche....ipe wiki ya ziada hakikisha unamwagia maji asubuhi na mchana...eneo...utakalo enda kupanda hakikisha...unaweka mbole kwenye matuta mwaga mbolea ya kutosha mbolea ya ng'ombe au kuku inafaa kama gharama hutozimudu....hakikisha una mwagia maji ya kutosha...kwenyView attachment 519106
Naweza kuanza kupandikiza hizi nyanya
Usikate tamaa...anza kuilisha maji kwa wingi ....Mkuu nimeisha bugi sana sasa umri wambegu umeenda zitakua na faida tena au niachanenazo mbolea ya can nichanganye na boster na ivory 72 nipige pamoja
Hiyo mbegu inaitwaje...? Umeinunua wapi?View attachment 519106
Naweza kuanza kupandikiza hizi nyanya
Mkuu wakati wa mvua hizi mimea hufanya hivi. Kuna dawa moja iko vizuri ya balton inaitwa DAMKAMkuu msaada mnyauko umevamia miche yangu ya nyanya....nifanyeje kutatua hili tatizo...
Asante sanaMkuu wakati wa mvua hizi mimea hufanya hivi. Kuna dawa moja iko vizuri ya balton inaitwa DAMKA
Si ushavuna leo? Weka picha mkuuAsante sana
Yap....ila kabla huja nunua mbegu hakikisha unafanya uchunguzi wa kina mbegu nyingine ni ghali mno kuhudumiakuna hizi mbegu zinaitwa ASSILA nasikia ndio mkombozi kwa wakulima hasa wa morogoro
Nilinunua madukani tu najina sikumbuki ntajitahidi kufanya hivyo je kunaulazima kuweka matuta au?Hiyo mbegu inaitwaje...? Umeinunua wapi?