Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Nilinunua madukani tu najina sikumbuki ntajitahidi kufanya hivyo je kunaulazima kuweka matuta au?
Inategemea ardhi na njia utakayotumia kumwagilizia....ila kwa udogo wa kichanga...usio tuamisha maji ni bora usiweke matuta kwani utapata shida kunyanyua udongo mara kwa mara...na eneo linalotuamisha maji vile vile ni bora ukachimba matuta....
 
Samahani nikuulize kidg shamba heka2 unatoa nyanya za bei gani unapouza na gharama zinakuwa bei gani km shamba la kukodi ila kibarua ni wewe mwenyew?
 
Okay asante nakwangu nikichanga
 
Kwa kawaida hekA moja ya Nyanya huingia miche elfu 10...kwa heka 2 ni zaidi ya miche elfu 20...hivyo ukii hudumia vizuri ikikua....tukisie kuwa itapona miche elfu 19000 hiyo 1000 itakufa kutokana na magonjwa....
Na mbegu nzuri mche huzaa hadi kilo tano na kuendelea...tukisie kuwa itazaa kilo 3 tuu kwa mche
Hivyo tukizidisha 19000*3=57000 utapata kilo 57000 ukilima kwa kufuata soko....hasa kilimo cha miezi hii ambayo utakuja kuvuna mwezi wa 9 na kuendelea soko linakuwa zuri unaweza kuuza zaidi ya 1500 kwa kilo hivyo 57000*1500=¿?
Jibu utakalo pata ndio fedha utakayoipata....ila ipo hasara....ukichelewa kutibu ardhi....ukijisahau kutibu magonjwa....ukipunja maji....ukipunja mbolea....hiyo faida unaweza usipate na pengine unaweza usirudishe fedha yako kabisa....kilimo kina hitaji umakini sana...
 
Okay asante nakwangu nikichanga
Kama ni kichanga ni bora ukapanda kwa kutengeneza mikingio ya maji....yani tuta linakuwa limezungukwa na udongo....hakikisha unapanda kwa kufuata kipenyo cha cm50 au 60 kutona mche mmoja hadi mche mwingine....ni bora kuhudumia miche michache kuliko kubananisha miche ya nyanya....maana hasara utakayoipata ni kubwa...pindi itakapo anza kuambukizana magonjwa
 
Kwa kawaida hekA moja ya Nyanya huingia miche elfu 10...kwa heka 2 ni zaidi ya miche elfu 20...hivyo ukii hudumia vizuri ikikua....tukisie kuwa itapona miche elfu 19000 hiyo 1000 itakufa kutokana na magonjwa....
Na mbegu nzuri mche huzaa hadi kilo tano na kuendelea...tukisie kuwa itazaa kilo 3 tuu kwa mche
Hivyo tukizidisha 19000*3=57000 utapata kilo 57000 ukilima kwa kufuata soko....hasa kilimo cha miezi hii ambayo utakuja kuvuna mwezi wa 9 na kuendelea soko linakuwa zuri unaweza kuuza zaidi ya 1500 kwa kilo hivyo 57000*1500=¿?
Jibu utakalo pata ndio fedha utakayoipata....ila ipo hasara....ukichelewa kutibu ardhi....ukijisahau kutibu magonjwa....ukipunja maji....ukipunja mbolea....hiyo faida unaweza usipate na pengine unaweza usirudishe fedha yako kabisa....kilimo kina hitaji umakini sana...
Ok asante kwaio nikilima heka2 natakiwa kwa wastan niwe na angalau kiasi gani ya budget kuanzia kukodi shamba mpak kuvuna?
 
Gharama hapo ni mbegu....zaidi ya laki 7
Shamba inategemea na sehemu kuna sehemu nyingine ni 150000 kwa heka....hivyo ni zaidi ya laki 3 kwa heka 2....kuna madawa zaidi ya 100000....mbolea 150000 na booster...watu wa kukusaidia mara nyingi ni maelewano....na maji....hayo ni mahesabu ya chini yanaweza kuongezeka ama kupungua...
 
Asnte sana nikuulize mkoa wa Mbeya wanalima nyaya? na zinastawi? Sielew ni mikoa gan inayozalisha kwa wingi
 
Nyanya ni miongoni mwa zao lisilochagua eneo isipokuwa halipandwi kwenye udongo unaotuamisha maji....
Ukiwa na eneo sehemu yoyote ya Tanzania hii....uwe na maji udongo usiotuwamisha maji na mbolea....unaweza kulima zao hili bila shida....kikubwa maji mbolea na dawa
 
Eddy asante sana kwa muda wako na usharikiano kwa hayo machache Mungu akuzidishie elimu
 
Ila kama hujawahi kulima ni bora ukaanza na robo heka ukajifunza changamoto....na jinsi ya kuzikabili kisha uhamie kwenye eneo kubwa... Kilimo cha nyanya kina changamoto kubwa sana....unaweza ukakagua shamba leo usione ugonjwa wowote kesho unakuta mabadiliko makubwa....na ugonjwa umesha shambulia
 
Kwaio ukiwa na vibarua na kuita wataalamu wa kukuangalizia pia inakuwa changamoto kwa heka 2?
 
Je tangawizi unaelewa gharama zake na mavuno?
Mfanyabiashara wa zao la Tangawizi

10.0 GHARAMA ZA UZALISHAJI NA MAPATO
GHARAMA YA HEKTA MOJA:
Mbegu Tshs. 240,000/-
Vibarua 250,000/-
Mbolea(mboji/samadi) 150,000/-
Jumla 640,000/-
MAPATO: uzaa tani 20 kwa heka hivyo na bei inakuwaga kuanzia 300-1500 kwa kilo
Kilo 20,000 X300 =6,000,000/-
 
Kwaio ukiwa na vibarua na kuita wataalamu wa kukuangalizia pia inakuwa changamoto kwa heka 2?
Gharama za kuita wataalam zinaweza zikawakubwa....maana biashara na watanzania si za uhakika...unaweza ukamuamini mtaalam kumbe na yeye ni mchumia tumbo...akala pesa yako na akashindwa kukusaidia....ni bora ukajifunza mwenyewe kwa eneo dogo....kisha....ukaendelea mwenyewe kwenye eneo kubwa...
 
Mfanyabiashara wa zao la Tangawizi

10.0 GHARAMA ZA UZALISHAJI NA MAPATO
GHARAMA YA HEKTA MOJA:
Mbegu Tshs. 240,000/-
Vibarua 250,000/-
Mbolea(mboji/samadi) 150,000/-
Jumla 640,000/-
MAPATO: uzaa tani 20 kwa heka hivyo na bei inakuwaga kuanzia 300-1500 kwa kilo
Kilo 20,000 X300 =6,000,000/-
Asante sana
 
Na mavuno yanakuwa ni miezi ngapi kuanzi kuvuna mpaka kukomaa?
 
Gharama za kuita wataalam zinaweza zikawakubwa....maana biashara na watanzania si za uhakika...unaweza ukamuamini mtaalam kumbe na yeye ni mchumia tumbo...akala pesa yako na akashindwa kukusaidia....ni bora ukajifunza mwenyewe kwa eneo dogo....kisha....ukaendelea mwenyewe kwenye eneo kubwa...
Wazo zuri kwaio soko zur la nyanya linakuwa mwez wa ngapi na wa ngapi ukiacha huu wa 9 unaokuja?
 
Back
Top Bottom