Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni mimba ya piliNa week ya 20, wanaosikia zaidi ni wale ambao ni mimba ya pili na kuendelea. Mimba ya kwanza inaweza chelewa sababu mwanamke hajui kutofautisha movement ya mtoto na muungurumo wa tumbo.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kuanzia week 20, soma baby centre itakusaidia sana kujua mtoto wako amekua amefikia kimo gani kila week.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app[/QUOAhsante[/QU OTE]
Ahsante Shayla
Huu muungurumo mtoto anaweza akawa amejamba eeh??Na week ya 20, wanaosikia zaidi ni wale ambao ni mimba ya pili na kuendelea. Mimba ya kwanza inaweza chelewa sababu mwanamke hajui kutofautisha movement ya mtoto na muungurumo wa tumbo.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kua serious mambo mengine sio ya kuweka mzahamzaha.Huu muungurumo mtoto anaweza akawa amejamba eeh??
Punguza povu sina nguo za kufua. Muungurumo gani wa tumbo mama asijue kama ni wake au sio wake? Vitu vingine viko wazi kama makalio ya mbuzi.
Kwa hyo acwe na wacwac au muda umepita
Asiwe na wasiwasi kama ameshaanza clinic huwa wanauliza, maranyingi akichelewa si zaidi ya miezi mitanoKwa hyo acwe na wacwac au muda umepita
Nataka kujua utachukua muda gan Kwa mtoto kuanza kucheza tumboni.
Maana kuna mwanamke hapa inaenda wik ya 20 ya ujauzito lakn bado Hakuna movement yoyote.
Ushauri unahtajka tafadhar na km kuna Tatzo pia mseme.
Natanguriza shukrani.
aiseeWagumba / Tasa / Wagongesha besela huu uzi hautuhusu kabisa!
Leo namba yako umepigwa chini ha ha ha ha mzima lakinaisee
Tabia mbaya namba ya Joseverest hii siku ingine usirudie... don't try this (Just joken)Kuanzia week 20, soma baby centre itakusaidia sana kujua mtoto wako amekua amefikia kimo gani kila week.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app