MSAADA: Kuhusu Mimba

MSAADA: Kuhusu Mimba

nyano

Senior Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
130
Reaction score
125
Nataka kujua utachukua muda gan Kwa mtoto kuanza kucheza tumboni.
Maana kuna mwanamke hapa inaenda wik ya 20 ya ujauzito lakn bado Hakuna movement yoyote.
Ushauri unahtajka tafadhar na km kuna Tatzo pia mseme.
Natanguriza shukrani.
 
Na week ya 20, wanaosikia zaidi ni wale ambao ni mimba ya pili na kuendelea. Mimba ya kwanza inaweza chelewa sababu mwanamke hajui kutofautisha movement ya mtoto na muungurumo wa tumbo.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Week 20 kitu kama miez 4 ivi mtafute daktari

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengine haya
Muachien tuu muumba
Ndo anajua chenye anafanya

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Nataka kujua utachukua muda gan Kwa mtoto kuanza kucheza tumboni.
Maana kuna mwanamke hapa inaenda wik ya 20 ya ujauzito lakn bado Hakuna movement yoyote.
Ushauri unahtajka tafadhar na km kuna Tatzo pia mseme.
Natanguriza shukrani.

Wagumba / Tasa / Wagongesha besela huu uzi hautuhusu kabisa!
 
Ila si inakua watoto wengine wanachelewa mwez wa 3 kuelekea wa 4 akiona haichez basi aende hosp. I'M Nurse professional midwives at Temeke Hospital welcome any time.
 
Back
Top Bottom