Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mwamba kashabakwa sio [emoji2]Yajayo yanafurahisha.View attachment 2347812
Bro hiyo hela bora ungebetia mechi za leo, hao jamaa washakupiga anza tu tamasha la kulia mpaka kesho asubuhiHabari zenu ndugu zangu
Ukweli siko poa kiakili
kutokana na Hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita NIKOPESHE MICRIFINANCE
Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa nilipe 4850 kwenye namba 0699890806 nikatuma then after few hours kweliiiii nikapewa fomu nikaijaza na kuirejesha
Nikasmbiwa nichague njia ya KUPOKEA mkopo wangu nikajaza kila kitu nakuja kuhamaki naletewa Tena fomu nyingine ya KIAPO pamoja na WADHAMINI ambapo Natakiwa nilipe 10250 nimelipa tangu asubuhi naona kimyaa
NAOMBA kwa yeyote anaewajua hawa jamaa ANITOE wasiwasi au ANITHIBITISHIE KUWA nimetapeliwa nianze kulia .
View attachment 2347803View attachment 2347804View attachment 2347806View attachment 2347807
Nimekopa sana Tala...mpaka nilifikia lak plusShukrani Kaka nafahamu na naelewa Sana ila ukweli sijawahi kukopa online ndo maana Nina wasiwasi vipi walikupa kiasi gani?
Naaaaaaaaaam, imeisha hio mzee.Mwamba kashabakwa sio [emoji2]
Ila wanatoa kweliiiii??
KUBAKWAtala mmewabaka.
branch mmewabaka.
nivushe mmewabaka
songesha mmewabaka
timiza mmewabaka
mpawa mmewabaka.
kilichobaki ni kuziwinda apps nyingine zinazoingia town mzibake,but bila kujua kumbe nazo zinawinda waty ziwabake.View attachment 2347944
Wamekuona hauna shida ya mkopo ndo maana wamekuomba hela[emoji23]Habari zenu ndugu zangu
Ukweli siko poa kiakili
kutokana na Hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita NIKOPESHE MICRIFINANCE
Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa nilipe 4850 kwenye namba 0699890806 nikatuma then after few hours kweliiiii nikapewa fomu nikaijaza na kuirejesha
Nikasmbiwa nichague njia ya KUPOKEA mkopo wangu nikajaza kila kitu nakuja kuhamaki naletewa Tena fomu nyingine ya KIAPO pamoja na WADHAMINI ambapo Natakiwa nilipe 10250 nimelipa tangu asubuhi naona kimyaa
NAOMBA kwa yeyote anaewajua hawa jamaa ANITOE wasiwasi au ANITHIBITISHIE KUWA nimetapeliwa nianze kulia .
View attachment 2347803View attachment 2347804View attachment 2347806View attachment 2347807
Alitaka ale akimbie sasa ameliwa yeyetala mmewabaka.
branch mmewabaka.
nivushe mmewabaka
songesha mmewabaka
timiza mmewabaka
mpawa mmewabaka.
kilichobaki ni kuziwinda apps nyingine zinazoingia town mzibake,but bila kujua kumbe nazo zinawinda waty ziwabake.View attachment 2347944
We hujawahi kula hela tala na branch?Hivi uwa mtu unashindwaje kutambua kuwa unapigwa?
Kama mtu anakukopa anakufahamu ana na kwako anapajua bado anasumbuka kulipwa halafu eti upewe mkopo hivi hivi online tu.
Kweli watanzania tunapenda kutapeliwa
Sikuwahi ila bora ya hao walikuwa hakuombi kutoa ela kabla ya kukupa elaWe hujawahi kula hela tala na branch?