Msaada kuhusu Nikopeshe Microfinance

Msaada kuhusu Nikopeshe Microfinance

Habari zenu ndugu zangu

Ukweli siko poa kiakili

kutokana na Hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita NIKOPESHE MICRIFINANCE

Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa nilipe 4850 kwenye namba 0699890806 nikatuma then after few hours kweliiiii nikapewa fomu nikaijaza na kuirejesha

Nikasmbiwa nichague njia ya KUPOKEA mkopo wangu nikajaza kila kitu nakuja kuhamaki naletewa Tena fomu nyingine ya KIAPO pamoja na WADHAMINI ambapo Natakiwa nilipe 10250 nimelipa tangu asubuhi naona kimyaa

NAOMBA kwa yeyote anaewajua hawa jamaa ANITOE wasiwasi au ANITHIBITISHIE KUWA nimetapeliwa nianze kulia .
View attachment 2347803View attachment 2347804View attachment 2347806View attachment 2347807
Bro hiyo hela bora ungebetia mechi za leo, hao jamaa washakupiga anza tu tamasha la kulia mpaka kesho asubuhi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila watu wanna dhambi.
UMELIWAAAA
 
tala mmewabaka.
branch mmewabaka.
nivushe mmewabaka
songesha mmewabaka
timiza mmewabaka
mpawa mmewabaka.

kilichobaki ni kuziwinda apps nyingine zinazoingia town mzibake,but bila kujua kumbe nazo zinawinda waty ziwabake.
IMG_0128.jpg
 
Habari zenu ndugu zangu

Ukweli siko poa kiakili

kutokana na Hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita NIKOPESHE MICRIFINANCE

Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa nilipe 4850 kwenye namba 0699890806 nikatuma then after few hours kweliiiii nikapewa fomu nikaijaza na kuirejesha

Nikasmbiwa nichague njia ya KUPOKEA mkopo wangu nikajaza kila kitu nakuja kuhamaki naletewa Tena fomu nyingine ya KIAPO pamoja na WADHAMINI ambapo Natakiwa nilipe 10250 nimelipa tangu asubuhi naona kimyaa

NAOMBA kwa yeyote anaewajua hawa jamaa ANITOE wasiwasi au ANITHIBITISHIE KUWA nimetapeliwa nianze kulia .
View attachment 2347803View attachment 2347804View attachment 2347806View attachment 2347807
Wamekuona hauna shida ya mkopo ndo maana wamekuomba hela[emoji23]
 
Hivi uwa mtu unashindwaje kutambua kuwa unapigwa?
Kama mtu anakukopa anakufahamu ana na kwako anapajua bado anasumbuka kulipwa halafu eti upewe mkopo hivi hivi online tu.
Kweli watanzania tunapenda kutapeliwa
We hujawahi kula hela tala na branch?
 
We jamaa! Uko serious kweli? Haihitaji digrii kujua matapeli mkuu.
 
Back
Top Bottom