Changamoto hii anayoitafutia majawabu haimuhusu mke wa rafiki yake bali mke wa mtoa mada mwenyewe........... Anajaribu tu kujificha nyuma ya kivuli chake mwenyeweMke wake ameanza hedhi tarehe 31/12/2017 mmhh mkuu mpaka siku za hedhi ya mkewe huyo rafiki yako anakwambia?. Siwezi kumwambia rafiki yangu mambo hayo labda awe daktari
mtoa mada ndio mwenye hoja sema kakwepa 'mishale' wajanja kama wewe mshajua. kikubwa aeleimishwe tu kukidhi haja ya moyo wake!Mke wake ameanza hedhi tarehe 31/12/2017 mmhh mkuu mpaka siku za hedhi ya mkewe huyo rafiki yako anakwambia?. Siwezi kumwambia rafiki yangu mambo hayo labda awe daktari
Yes aliniambia kwa uaminifu mkubwa kabisa ili kulifumbua tatizoMke wake ameanza hedhi tarehe 31/12/2017 mmhh mkuu mpaka siku za hedhi ya mkewe huyo rafiki yako anakwambia?. Siwezi kumwambia rafiki yangu mambo hayo labda awe daktari
Hapana sio Mimi mkuu ingalikuwa Mimi ningeweka wazi tuu yanini kuficha??Changamoto hii anayoitafutia majawabu haimuhusu mke wa rafiki yake bali mke wa mtoa mada mwenyewe........... Anajaribu tu kujificha nyuma ya kivuli chake mwenyewe
Wakuu mnaofahamu suala hili mnijuze nielewe. Kuna jamaa mmoja anamke wake na alinieleza kuwa anashindwa kujua timing nzuri yakumpatia ujauzito mke wake.
Yeye mke wake ameanza hedhi tarehe 31/12/2017 sasa hajui chochote kwamba nisiku yangapi anaweza kupatia ujauzito, Tafadhali wajuzi wa haya mambo tusaidizane ili kujua siku ipi au siku ngapi za kumpatia ujauzito
Nawasilisha