Msaada kuhusu timing ya kumpa ujauzito mwanamke

Revola

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
1,516
Reaction score
1,338
Wakuu mnaofahamu suala hili mnijuze nielewe. Kuna jamaa mmoja anamke wake na alinieleza kuwa anashindwa kujua timing nzuri yakumpatia ujauzito mke wake.
Yeye mke wake ameanza hedhi tarehe 31/12/2017 sasa hajui chochote kwamba nisiku yangapi anaweza kupatia ujauzito, Tafadhali wajuzi wa haya mambo tusaidizane ili kujua siku ipi au siku ngapi za kumpatia ujauzito
Nawasilisha
 
Mke wake ameanza hedhi tarehe 31/12/2017 mmhh mkuu mpaka siku za hedhi ya mkewe huyo rafiki yako anakwambia?. Siwezi kumwambia rafiki yangu mambo hayo labda awe daktari
Changamoto hii anayoitafutia majawabu haimuhusu mke wa rafiki yake bali mke wa mtoa mada mwenyewe........... Anajaribu tu kujificha nyuma ya kivuli chake mwenyewe
 
mtoa mada ndio mwenye hoja sema kakwepa 'mishale' wajanja kama wewe mshajua. kikubwa aeleimishwe tu kukidhi haja ya moyo wake!
 
Download app inaitwa maya. Itakusidia. Jinsi ya kuitumia jifunze ni rahisi sana
 
We unadhan watanzania karibia ml 50 na ishee wazee wetu walifanya timing???hapo inaweza ikawa wa moja havai mbili hata um tume vp
 
Mke wake ameanza hedhi tarehe 31/12/2017 mmhh mkuu mpaka siku za hedhi ya mkewe huyo rafiki yako anakwambia?. Siwezi kumwambia rafiki yangu mambo hayo labda awe daktari
Yes aliniambia kwa uaminifu mkubwa kabisa ili kulifumbua tatizo
 
Kuanzia siku ya kumi na moja hadi kumi na saba apige mzigo au aniite nije nimsaidie.
Hahhaha sawa mkuu ngoja nimpe taarifa kwa hiyo ni almost siku 7 zote nizakupiga mzigo tuu
 
Kwa jinsi unavyokimbia kivuli chako, hata hiyo mimba mtabaki kuisikia kwa majirani tu.
Yani pamoja na Id fake bado unataka kujificha zaidi kwenye matatizo yako. Endelea
 
Changamoto hii anayoitafutia majawabu haimuhusu mke wa rafiki yake bali mke wa mtoa mada mwenyewe........... Anajaribu tu kujificha nyuma ya kivuli chake mwenyewe
Hapana sio Mimi mkuu ingalikuwa Mimi ningeweka wazi tuu yanini kuficha??
 
Kwa jinsi unavyokimbia kivuli chako, hata hiyo mimba mtabaki kuisikia kwa majirani tu.
Yani pamoja na Id fake bado unataka kujificha zaidi kwenye matatizo yako. Endelea
Hahhaha hapana kweli sio Mimi mkuu
 
Hoja inahitaji majibu na sio nani ana tatizo hilo, tuwe waelewa. Mwambie rafiki yako Siku ya 11-16 alengeshe hapo itajibu tu
 
Wakuu mnaofahamu suala hili mnijuze nielewe. Kuna jamaa mmoja anamke wake na alinieleza kuwa anashindwa kujua timing nzuri yakumpatia ujauzito mke wake.
Yeye mke wake ameanza hedhi tarehe 31/12/2017 sasa hajui chochote kwamba nisiku yangapi anaweza kupatia ujauzito, Tafadhali wajuzi wa haya mambo tusaidizane ili kujua siku ipi au siku ngapi za kumpatia ujauzito
Nawasilisha

Kwa hiyo tarehe ya mwezi mmoja pekee ni vigumu kujua,
 
KUANZIA SKU YA 11 PIGA MISHALE YA NGUVU HADI SIKU YA 18 IKIWEZEKANA MPAKA SIKU YA 21 HUKO. ASIPOPATA NENDENI MKAPIME, NAJUA HII MADA NI YAKO
 
Back
Top Bottom