Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,516
- 1,338
Wakuu mnaofahamu suala hili mnijuze nielewe. Kuna jamaa mmoja anamke wake na alinieleza kuwa anashindwa kujua timing nzuri yakumpatia ujauzito mke wake.
Yeye mke wake ameanza hedhi tarehe 31/12/2017 sasa hajui chochote kwamba nisiku yangapi anaweza kupatia ujauzito, Tafadhali wajuzi wa haya mambo tusaidizane ili kujua siku ipi au siku ngapi za kumpatia ujauzito
Nawasilisha