Unajua mkuu wakati mwingine hizi khali zinachosha saana, mtu unaenda hospitali nne tofauti wanakwambia ugonjwa mmoja wanakupa dawa hospitali nyingine sindano na dawa lakini unapona tu unapotumia zile dawa ukiacha khali inarudi.
Hali hii inaumiza ukifikiria khali ngumu ya kiuchumi japo afya zetu tunazipenda ndio vile tunajitahidi kwenda hospitali tofauti tofauti.
Lakini nashukuru dawa nilizotumiaa za asili ziMenionesha matokeo fulani walau sasa naweza kusema kwa 90% ugonjwa umeisha nimebaki kusikia maumivu kidogo saana wakati wa mkojo wa kwanza wa asubuhi,
kwakua yule mtu alisema nimuone nikimaliza dozi basi ntakwenda kumuona
All in all nawapenda bure jamii forum hamjawahi niangusha ushauri wenu umenifungua mengii[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]