Msaada kuikuza account yangu ya forex

Msaada kuikuza account yangu ya forex

Ukimpa mtu akukuzie account,nakuhakikishia utalia jitahidi usome uelewe mwenyewe ukishidwa kuelewa,fanya withdraw ufanye Mambo mengine
 
Nilikuza $10 to $2500 within three weeks najua huamini ila its very possible..
 
Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi

Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60,nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika

Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo
Mkuu kama ni kweli una mtaji huo kwenye account yako ya forex basi kitu cha kwanza kabisa punguza tamaa (greed) ya kutaka kupata pesa haraka haraka. Kiuhalisia hakuana pesa ya haraka haraka na kama ipo huwa haidumu huo ndio ukweli. Inavyooneka umeweka mawazo yako zaidi kwenye kupata hela na siyo njia sahihi (ujuzi na maarifa) itakayokupatia hiyo fedha. Huwezi kufanikiwa kwenye biashara yoyote kama huna maarifa nayo hata kama una mtaji mkubwa.

Kwa mtaji wa 250 ni ngumu sana kupata dola 1000 profit ndani ya mwezi mmoja labda ujilipue (ugamble) kwa kutrade lot kubwa kama 0.1 na kuendelea. Kumbuka soko lina pande mbili kupata na kupoteza na kamwe huwezi kuwa wewe unapata tu hata kama utajuwa hodari kiasi gani. INAONEKANA BADO HUJAWA NA STRATEGY YOYOTE UNAFANYA TU GUESS WORK (GAMBLE). TAFUTA MAARIFA NA UJUZI WA KUTRADE HELA ZITAKUFUATA BAADAE. KUNA SOURCE NYINGI TU ZA KUKUSAIDIA KUJIFUNZA KWENYE INTERNET KAMA KWELI UPO COMMITTED NA FOREX. EPUKA SANA HAWA MAMENTOR WA KWENYE MITANDAO UTAPOTEZA!
 
Nilikuza $10 to $2500 within three weeks najua huamini ila its very possible..
Endelea kufurahisha kijiwe. Naon unatafuta fursa ya kumpiga mtu kwenye huu uzi maana nyie ma-mentor wa kwa Mfuga mbwa hamchoki kujitangaza humu! 😁 😁 😁
 
FX-Pict.jpg

Kuna indicators nyingi tu za free (kama hiyo hapo juu kwenye screen shot) unaweza kuzitumia na kupata hela kwenye fx cha msingi pata skills za kutosha za fx pamoja na za indicator unayotaka kuitumia au technical analysis au price action (candlestick formation). Wishing you good trading. HIYO SCREEN SHOT NI DEMO ACCOUNT!
 
Forex ni game ya kuRisk + Knowledge. Tafuta strategy yako mwenyewe ambayo ita work kwako. Strategy inayofanya kazi kwa mtu mwingine inaweza isifanye kazi kwako kwa sababu Forex inahusisha psychology ya hela ambayo tunatofautina.....na ukiipata hyo strategy ukipata loss siku moja usihame kuhangaika kutafuta
Mfano mimi natumia pure Price Action

1. Chart patterns
2. Trendline, Resistance & Support
3. Breakoutand Retest
4. Fibonacci retracements
5. Money management

High risk, high returns, ujue pa kuingilia, na pa kutokea na uwe na strategy yako mwenyewe... Hamna holy graily ya Forex ndo mana ww unaweza ukasell GU na mimi nka Buy, wote tukapata profit kutokana na ulipoingilia na ulipotokea.
DD8F1398-5BA6-4EFB-B4EA-E4521C8ADF73.png
EA7D9BFB-9DE8-478D-B5A8-E38E4D87122F.png
2145FF18-E060-42AE-AC04-9FF572BC6412.png
 
Inawezekana weka margin kubwa, kisha cheza na lot ya 0.10 to 0.50, analyz market,march your prediction with other , ukitaka ikue fasta 1 to 2 day cheza na lot 1,pear 1 tu , ukipiga profit 100 na zaid ukaona inashuka close trade on profit , fanya ivyo ,mi nilianza na 5$ nikapiga na lot 0.01, na gold nikapiga 99$,one day, nikaongeza lot to 0.05 nikafikisha 265$ nkaongeza lot 0.10 t0 0.50 account ikasoma 1350$ ingawa nimechezea vichapo vya kutosha. Ikifikaga ijumaa staki stress nawithdrawal kibunda au nafanya transfer ili isijechomeka yote, gold ni tamuu ila jana imenilamba fyaaaaaaaa account ikawa inachomeka nkasema potelea mbali nilikuja fungua mt4 nkakuta imereversal



Mimi sio mentor wala sifundishagi mtu
 
tuhamie piptwitz.com kule positivity kubwa kila mtu ana trade forex humu kuna watu yamewashinda sasa wanaharibu vichwa vya wanao pambana hakuna kitonga kokote maishani ukiona kitu kila mtu anaweza akakifanya akatengeneza pesa nacho jua kabisa hakuna pesa yakueleweka hapo. Ila ukiona kugumu ni wachache wanaweza kuiga au kutengeneza pesa na biashara yako basi jua upo sehemu sahihi chakufanya pambana uwe kwa wachache.
 
Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi.

Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60, nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika.

Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo.
Ulitakiwa uanze na demo au cent account,nna uhakika hiyo hela ushaipoteza
 
Kwa kamtaji hako unaikuza kwa siku 3 tu kufikia hiyo $1000 ela ya Maandazi hiyo
 
Hellow wakuu. Je, kuna namna naweza wekeza hela yangu, mtu akatrade tukagawana faida?
 
Back
Top Bottom