Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unataka kumuua mwenzako na presha...
SureInawezekana kama ulitenga mwaka hadi miaka ya kusoma ukaielewa FX kisha ukatenga miezi 6 na zaidi ya ku trade na demo+low loss accounts (cent accounts) kisha ukapata uzoefu wa kutosha .
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakakika na ulichokiandika au unafurahisha kijiwe tu?mm nilikuza 20$ plus 3$ bonus ya templer to 3100$ within two weeks currencies though till now nme withdrawl 649$
Mkuu kama ni kweli una mtaji huo kwenye account yako ya forex basi kitu cha kwanza kabisa punguza tamaa (greed) ya kutaka kupata pesa haraka haraka. Kiuhalisia hakuana pesa ya haraka haraka na kama ipo huwa haidumu huo ndio ukweli. Inavyooneka umeweka mawazo yako zaidi kwenye kupata hela na siyo njia sahihi (ujuzi na maarifa) itakayokupatia hiyo fedha. Huwezi kufanikiwa kwenye biashara yoyote kama huna maarifa nayo hata kama una mtaji mkubwa.Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi
Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60,nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika
Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo
Endelea kufurahisha kijiwe. Naon unatafuta fursa ya kumpiga mtu kwenye huu uzi maana nyie ma-mentor wa kwa Mfuga mbwa hamchoki kujitangaza humu! 😁 😁 😁Nilikuza $10 to $2500 within three weeks najua huamini ila its very possible..
TAPELI
Sio kweli. Kuna siku alijielezaTAPELI
Ulitakiwa uanze na demo au cent account,nna uhakika hiyo hela ushaipotezaKwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi.
Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60, nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika.
Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo.
Inwzkn tn kwa low risk tuDola 750 ndani ya mwezi kwa mtaji wa 250$ ni uongo unaowezekana,labda utafute ushauri kwa ref wayne au Sindile shezi,ila kwa traders wa mitaji ya kibongo sijui kama inawezekana! Labda kwa IQ option
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubwa hiyo hela iliyeyuka kama upepo ila kwa sasa nimepata kauzoefu sina mihemko kabisaUlitakiwa uanze na demo au cent account,nna uhakika hiyo hela ushaipoteza
Ndio inawezekana ukipata mtu muaminifu na anayefahamu namna ya ku tradeHellow wakuu. Je, kuna namna naweza wekeza hela yangu, mtu akatrade tukagawana faida?