Msaada kuondoa ujumbe huu kwenye mtandao nikiingia kwa kompyuta yangu

Msaada kuondoa ujumbe huu kwenye mtandao nikiingia kwa kompyuta yangu

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
787
Reaction score
1,394
Jamani

Nikiingia aidha kwenye mtandao hasa email, app, system yoyote inahitaji password yangu napata ujumbe huu

Your token has expired

Awali nilifanya yafuatayo kuondoa
1. Nikiingia kwenye dot tatu kulia mwa address ya web nikaenda setting ku delete catches, cookies nk

2. Nili reflesh site kwa cntl +R

3.Nimejitahidi kufanya Fn+F12 nikaenda network nikaweka tick pale kwenye preserve log bila mafanikio japo baadhi ya vitu vilifinguka kwa njia hii ya tatu, ila vingine bado. Hasa systems mifumo inakataa inaleta msg hiyo.

Huu ujumbe ni kama vile timeout message

Msaada kwa mbonezi yoyote
 
Wahi kupata tatizo kama hilo. Kwangu mimi, ilibainika kuwa ni tatizo la kivinjari (browser), siyo la tovuti yenyewe. Nilijaribu tu kuifungua kwenye kivinjari kingine na ikafanya kazi. Kama haifanyi kazi, labda ufute pia akiba ya data (cache). Natumai utalitatua tatizo hilo hivi karibuni.
 
Kama unatumia email kwa browser:
- Jaribu Logout/Remove then add tena

Au:
- Uninstall Broswer kisha install tena / Au download browser nyingine uone kam tatizo bado litakuwepo subiri ushaur wa mwngine
 
Back
Top Bottom