MSAADA: Kupata muwasho, vijipele hatimaye maumivu makali kwenye kuta za uke mpaka kwenye kinena

Mmh! Miezi mitano.

Haya nenda Hospitali huko ndo kunasuluhisho la uhakika nikimaanisha vipimo na hata Dr kuona hapo penye ugonjwa tofauti na huku ambako wengi watakujibu kihisia.
Sawa mkuu.
Wapo pia Madaktari humu wenye taaluma zao.
Na wapo pia members ambao walipona na wanaendelea kupona kutokana na maelezo ya madaktari wa hapahapa jukwaani.
Sema nini, hospitali ndio suluhisho kuu japo watu wanapona kwa kufuata maelekezo pia.
 
Dalili za Ukimwi hizo, kapime HIV kama miezi 4 ndio dalili zinajitokeza za awali kwa ukali, kapime, kama huna HIV kapime Syphillis or Gono, ziko Gono sugu inahitaji doze kali za sindano kwa wiki kadhaa na vidonge ndio upone.
 
Asante sana kwa mchango wako, ofisi yetu tuna utaratibu wa kupima kwa hiyari.
Nilishapima na kupima ila hiko unachosema sijapata maambukizi.
Na mara ya mwisho nimepima November 9
 
DR Mambo Jambo
 
Pole sana mkuu. Umemuona daktari yeye amesemaje? Umepima UTI sugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…