Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Wasalam,
Kwa baadhi yetu ambao pets hasa mbwa na paka ni sehemu ya maisha yetu na tuna mapenzi na wanyama hawa lakini pia tuna ufahamu wa aina mbalimbali za wanyama hawa. Naomba kusaidiwa aina ya mbwa huyu (puppy).
Nilikuwa na shepherd mdogo lakini wajanja wakapita nae 😅, hivyo sikutaka kujipa gharama kutafuta mwingine, just niliwapa madogo wa kitaa kunitafutia mbwa mzuri wa kufuga ndio wameniletea huyu ila sijakua na uwakika na breed yake.
Kwa haraka haraka anaonekana ni Border collie (spp ya muingereza) alie mix. But i’m not sure, so mwenye uelewa zaidi anisaidie kutambua.
Wasalaam.
Mla bata.