Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mbwa akifika steji ya kudokoa au kula mavi yake au kula kuku huyo ndio basi tenaNa wamekaa kidokozi dokozi sana. 😅
Kapime ujue ni breed gani, hizo habari za kuambiwa eti mtu ana uzoefu ndiyo watu huingizwa machakani.View attachment 2713687View attachment 2713688View attachment 2713690
Wasalam,
Kwa baadhi yetu ambao pets hasa mbwa na paka ni sehemu ya maisha yetu na tuna mapenzi na wanyama hawa lakini pia tuna ufahamu wa aina mbalimbali za wanyama hawa. Naomba kusaidiwa aina ya mbwa huyu (puppy).
Nilikuwa na shepherd mdogo lakini wajanja wakapita nae 😅, hivyo sikutaka kujipa gharama kutafuta mwingine, just niliwapa madogo wa kitaa kunitafutia mbwa mzuri wa kufuga ndio wameniletea huyu ila sijakua na uwakika na breed yake.
Kwa haraka haraka anaonekana ni Border collie (spp ya muingereza) alie mix. But i’m not sure, so mwenye uelewa zaidi anisaidie kutambua.
Wasalaam.
Mla bata.
View attachment 2713687View attachment 2713688View attachment 2713690
Wasalam,
Kwa baadhi yetu ambao pets hasa mbwa na paka ni sehemu ya maisha yetu na tuna mapenzi na wanyama hawa lakini pia tuna ufahamu wa aina mbalimbali za wanyama hawa. Naomba kusaidiwa aina ya mbwa huyu (puppy).
Nilikuwa na shepherd mdogo lakini wajanja wakapita nae 😅, hivyo sikutaka kujipa gharama kutafuta mwingine, just niliwapa madogo wa kitaa kunitafutia mbwa mzuri wa kufuga ndio wameniletea huyu ila sijakua na uwakika na breed yake.
Kwa haraka haraka anaonekana ni Border collie (spp ya muingereza) alie mix. But i’m not sure, so mwenye uelewa zaidi anisaidie kutambua.
Wasalaam.
Mla bata.
Kuna Mbwa halafu kuna Umbwa.Hapo ni shepherd imemix na hizi breed zetu hizi. Ndio zimetoa hiyo breed ila ndani yake kuna u shepherd.
Hapana mkuu koko havutii kama hivi 😂😂😂 huyu amemix
Yaani hawa mbwa wetu huwa hawana gharama!! Huhitaji bajeti ya kumtunza!! Wako sugu hata akiumwa kupe bado anadunda tu!! Cha maana ajue tu nyumbani ni wapi! Akitokea kibaka anakusaidia kukuamsha!!
Huyo ni cross ya German Shepherd na Belgium Shepherd!! Ni mbwa mzuri sana: Amerithi akili kubwa ya ulinzi toka kwa German Shepherd na ukali & mbio toka kwa Belgium Shepherd!! Umepata mbwa mzuri sana!!Nitautunza uzi huu mpaka baada ya miezi 6+ nitawaletea update ya picha jinsi atavyobadilika.
German Shepherd(long coat) X Belgium Shepherd!! Pure German Shepherd (long coat or short coat) lazima awe na mdomo mrefu. Huyo mdomo wake siyo mrefu!!Huyo German Shepherd
Mbwa hata kama ni hawa wa kwetu, kama ukimtunza vizuri na ukampeleka kwa walimu wa mbwa akiwa bado mdogo (japo upeo wao wa kufundishika ni mdogo), bado hawezi kuwa mbwa mwizi!! Uzuri ni kwaqmba wanakula chochote!! Ukitaka hizi breeds kali inabidi uwe na kisu kikali!! bei yake si ya kitoto!Na mbwa akifika steji ya kudokoa au kula mavi yake au kula kuku huyo ndio basi tena