Msaada kutambua aina hii ya puppy

Msaada kutambua aina hii ya puppy

Nitautunza uzi huu mpaka baada ya miezi 6+ nitawaletea update ya picha jinsi atavyobadilika.
 
Yani uwafananishe na hawa kweli??? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚View attachment 2713691View attachment 2713692
aisee hao mbwa waliofungwa na mkanda wamekonda sanaa nimal welfare sifuri kabisa kama mnyama kamshinda mtu ni bora kumpeleka machakani akajitafutie mwenyewe
1691674303034.png
 
Hawa wa mapera ndo wale wanapata constipation choo hakitoki wanalia kama ukunga halafu wamiliki wanasema wameona mchawi.
Daaah nimechela kifala ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom