Msaada kutambua aina hii ya puppy

Nitautunza uzi huu mpaka baada ya miezi 6+ nitawaletea update ya picha jinsi atavyobadilika.
 
Hawa wa mapera ndo wale wanapata constipation choo hakitoki wanalia kama ukunga halafu wamiliki wanasema wameona mchawi.
Daaah nimechela kifala πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…