Msaada kutambua aina hii ya puppy

Kapime ujue ni breed gani, hizo habari za kuambiwa eti mtu ana uzoefu ndiyo watu huingizwa machakani.
 
hii ni cross blid ya fisi na shepherd
 
Kwa hisani ya Google
 

Attachments

  • Screenshot_2023-08-10-20-17-18-176_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    232.4 KB · Views: 3
Kuna na hawa wala miwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2713715
Yaani hawa mbwa wetu huwa hawana gharama!! Huhitaji bajeti ya kumtunza!! Wako sugu hata akiumwa kupe bado anadunda tu!! Cha maana ajue tu nyumbani ni wapi! Akitokea kibaka anakusaidia kukuamsha!!
Ila kama uko serious kitu hiki hapa:
 

Attachments

Nitautunza uzi huu mpaka baada ya miezi 6+ nitawaletea update ya picha jinsi atavyobadilika.
Huyo ni cross ya German Shepherd na Belgium Shepherd!! Ni mbwa mzuri sana: Amerithi akili kubwa ya ulinzi toka kwa German Shepherd na ukali & mbio toka kwa Belgium Shepherd!! Umepata mbwa mzuri sana!!
 
Huyo German Shepherd
German Shepherd(long coat) X Belgium Shepherd!! Pure German Shepherd (long coat or short coat) lazima awe na mdomo mrefu. Huyo mdomo wake siyo mrefu!!
 
Na mbwa akifika steji ya kudokoa au kula mavi yake au kula kuku huyo ndio basi tena
Mbwa hata kama ni hawa wa kwetu, kama ukimtunza vizuri na ukampeleka kwa walimu wa mbwa akiwa bado mdogo (japo upeo wao wa kufundishika ni mdogo), bado hawezi kuwa mbwa mwizi!! Uzuri ni kwaqmba wanakula chochote!! Ukitaka hizi breeds kali inabidi uwe na kisu kikali!! bei yake si ya kitoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…