Msaada kutoka kwa mwenye uelewa wa kozi hizi

Msaada kutoka kwa mwenye uelewa wa kozi hizi

Joined
Oct 2, 2020
Posts
41
Reaction score
62
Habari wakuu nilikua naomba kujua kozi ya B. Com in Human Resources Management vs B.com in Marketing znahusiana na nini na ipi iliyo marketable kidogo? Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom