Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

Kama unapata changamoto katika kutuma maombi ya mkopo njoo nikusaidie kukamilisha popote ulipo Tanzania
 
Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB.

Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
Daah mm mwenyew toka juzi naangaika kujaza demographic information inagoma kusubmitt
 
KIPENGELE CHA PICHA VIP WADAU NANI KAWEZA KUWEKA PICHA MIZINGUO FULL
 
Huu mfumo bodi ya mikopo kwa mala ya kwanza wamepigwa, ni mqjanga matupu na hauleweki .Wauzime wajipange upya
 
Ile sehemu ya kuapload page ya 2 na 5 inasumbua kinoma haikuletei sehemu ya kuconfirm....maana rangi si inabidi iwe ya kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…