Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Ebu fafanua argument yako mkuu, wengine tupo kwnye process za kuacha.
Ha ha ha wengi wanaoacha ni kwamba tayar wameshafeli kwenye sekta ya moja wapo kati yenu ninyi wawili,,aidha umeshindwa kumuelewa mwenzako na njia pekee ukaona ni kumuacha. Ila anaeachwa mara nying anapata bahat kubwa ya kufanikiwa sababu hajafeli. Lazma tukumbuke hatujazaliwa kua perfect,,tumezaliwa kua real.(halisia)kinachotutesa sana ni kuutafita uhalisi wetu wenyewe ,ukijielewa uhalisia wako huwez kupata shida,maana utakua unajielewa.
 
Tuwekee picha zao buana ili tuone kama kuchizika kwake ni haki
 
Aliyezingua nani?
Isije kua chanzo ni yeye mwenyewe
 
Mimi sina moyo wa kupenda once. Ila nimeona wakaka wengi wakizingua kwenye current relationships kwa kisingizio kua walipendaga mara moja tu. Kwahiyo wanakua vicheche kwa kisingizio cha maumivu
Kuna ukweli nadhani

NB
Women give and forgive
Men get and forget
 
Ndo hasara za kuwekeza furaha yako kwa mwenzio, siku akikupiga chini unabaki unagugumia kwa maumivu.
 
Wekeni na jina la wimbo wa Zila nimkumbuke maana naunga dot nimkumbuke nashindwa
 
Binadam mkijuana huwa kuna mawili kati ya haya hutokea kushuka thamani sana au kupanda thamani kutokana na utakayoyakuta kwa mwenzako hapo ndio upendo wa kweli unadhihilika wengi huwa wanashindwa pale unapojua mwanaume uliyemtamani siku zote ni 5mns au mwanamke uliyempenda sana kumbe ni mwenye roho ya hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…