Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Ni mwanaume wa dar...hivyo haishangazi akilia lia
 
Naambiwa namtu hapaa huko aliko hata haeleweki nataman hata nije nimpge picha njian
 
kuna shangingi moja linapenda wasanii lilishaniambia huyo Godzilla michezo yake kama kina kibakuli na mr misifa kupenda kula tigo,nahisi huyo demu atakuwa analiwa ndogo ndo maana jamaa linalia ,limemiss kiboga
 
huyu dogo u 50 cent mwingi mpaka haeleweki nini anasemaga ..ila bora nyie kama mme muelewa, matatizo yake na doreen watajuana wenyewe
 
Kweli Bongo kuwa msanii ni shida tupu....ngoja nami nianze kujipiga picha nikiwa utupu nijibandike mtandaoni.
 
Wekeni na jina la wimbo wa Zila nimkumbuke maana naunga dot nimkumbuke nashindwa
"Nipo poa mazee ukimuona Duke,mpe hi mazee,ni sawa na kuwa na case,first degree murder ,king zilla in da house sala sala we go harder,Nipo na Texas yes he's my brudder.
 
hili neno botj lina maana gani ndugu zangu,
uzungu mwingi hadi basi
 
Hata mie nilishawahi data,kwahyo simushangai!
Ila nilikuwa,utoto nikauacha!
Hana jinsi,mwache ataabike,
 
kuna shangingi moja linapenda wasanii lilishaniambia huyo Godzilla michezo yake kama kina kibakuli na mr misifa kupenda kula tigo,nahisi huyo demu atakuwa analiwa ndogo ndo maana jamaa linalia ,limemiss kiboga
Hizo data mnazipataga wap?
 
mapenzi mabaya sana, niliwahi kudata kwa manzi flani nikwa chuo, hapo ndio nilamini kuna kupenda *****, mtu mzima nilikula re-take , ila nasema ni bora nilipitia hali ile, maana sasa hivi sidhani kama mapenzi yatawahi kuja kunitesa tena, labda ni fall in love na malaika🙄 all i want is sex. may be mapenzi kidogo sana, ndo inafika kipindi unakuwa like a player.
 
vi English navyo mmmmmh! kwani wakiandika kwa lugha yetu mtandao utakataa ku send?!
 
Back
Top Bottom