Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

jamani mimi tangu napata kujitambua hadi sasa nina miaka 29 nina hii hali ya kutetemeka..Sijawahi kupata tatizo la presha ila miaka hii miwili kazini walikuja watu wa osha katika kutupima presha upande wangu nilipimwa zaidi ya mara tatu presha ya kushuka inakua mara ilionyesha 98 ikaja kusoma 101 ya mwisho 105..
 
Ngumu kusema ila huyo mwalimu anaelekea dakika za lala salama za maisha yake..am talking from experience.
Hapana mkuu,Mimi shahidi wa Hilo akipunguza mdogomdogo na kunywa maji mengi na kula mwishowe aache Bado anamaanisha marefu tuu.Mimi nilikuwa natetemeka hadi miguu!Nipo na Nina Afya NJEMA sana.Sio Mimi tuu kuna bosi wangu bila kuzimua asubuhi alikuwa anatetemeka mno.Kaacha na Bado yupo 87years of age .
 
Juice ya miwaa kwa wingi inatibia tatozo
 
Mwezi wa nane tu hapo kuna jamaa yetu tumemzika alianza kutetemeka kama huyo mwalimu,baadae kuja kugundulika ini na Figo viliishajifia siku nyingi,ikawa ndio hivyo tena.
 
Mwezi wa nane tu hapo kuna jamaa yetu tumemzika alianza kutetemeka kama huyo mwalimu,baadae kuja kugundulika ini na Figo viliishajifia siku nyingi,ikawa ndio hivyo tena.
Ni kweli mkuu Iko hivyo,Mimi nilienda kupima nikaambiwa Figo zinatatizo kidogo niache pombe,nimepima Tena juzi,ahaa gari new brand .Pombe noma sana basi tuu ubishi.
 
Alcohol withdrawal io…. Anakunywa pombe kali alafu hali chakula… ajaribu kupunguza kutokunywa pombe kwa siku kadhaa na ale sana chakula atakua sawa
 
Ni kweli mkuu Iko hivyo,Mimi nilienda kupima nikaambiwa Figo zinatatizo kidogo niache pombe,nimepima Tena juzi,ahaa gari new brand .Pombe noma sana basi tuu ubishi.
Pombe ni shetani asee..mtu unajiua kwa pesa yako huku unajiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…