Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu,Mimi shahidi wa Hilo akipunguza mdogomdogo na kunywa maji mengi na kula mwishowe aache Bado anamaanisha marefu tuu.Mimi nilikuwa natetemeka hadi miguu!Nipo na Nina Afya NJEMA sana.Sio Mimi tuu kuna bosi wangu bila kuzimua asubuhi alikuwa anatetemeka mno.Kaacha na Bado yupo 87years of age .Ngumu kusema ila huyo mwalimu anaelekea dakika za lala salama za maisha yake..am talking from experience.
Astaafu!Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni.
Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali.
Ipi tiba yake?
Mwezi wa nane tu hapo kuna jamaa yetu tumemzika alianza kutetemeka kama huyo mwalimu,baadae kuja kugundulika ini na Figo viliishajifia siku nyingi,ikawa ndio hivyo tena.Hapana mkuu,Mimi shahidi wa Hilo akipunguza mdogomdogo na kunywa maji mengi na kula mwishowe aache Bado anamaanisha marefu tuu.Mimi nilikuwa natetemeka hadi miguu!Nipo na Nina Afya NJEMA sana.Sio Mimi tuu kuna bosi wangu bila kuzimua asubuhi alikuwa anatetemeka mno.Kaacha na Bado yupo 87years of age .
Ni kweli mkuu Iko hivyo,Mimi nilienda kupima nikaambiwa Figo zinatatizo kidogo niache pombe,nimepima Tena juzi,ahaa gari new brand .Pombe noma sana basi tuu ubishi.Mwezi wa nane tu hapo kuna jamaa yetu tumemzika alianza kutetemeka kama huyo mwalimu,baadae kuja kugundulika ini na Figo viliishajifia siku nyingi,ikawa ndio hivyo tena.
Pombe ni shetani asee..mtu unajiua kwa pesa yako huku unajiona.Ni kweli mkuu Iko hivyo,Mimi nilienda kupima nikaambiwa Figo zinatatizo kidogo niache pombe,nimepima Tena juzi,ahaa gari new brand .Pombe noma sana basi tuu ubishi.
Mtu kama huyo keshazoea kunywa visungura hadi anazima,huwezi kumrudisha kwenye serengeti light.Aachane na pombe kali anywe pombe za kilevi cha chini.
Nicheki pmNi jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni.
Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali.
Ipi tiba yake?
Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni.
Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali.
Ipi tiba yake?
Mteja wake!!?Ni mteja wako kwa muda Gani?
Ila watu watata duhKwamba inawezekana anapata hasira akisahisha madaftari namna wamepata zero
Labda ni hiyo Kangala yako unayomuuzia ticha imemharibu.Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni.
Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali.
Ipi tiba yake?