Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

In Bass ya kutosha, pia*setting ya bass yake una'adjust unavyotaka mwenyewe.
Vizio ni product nzuri sana kwa soundbar, mimi nakushauri usijiulize.
Mimi ninayo VIZIO V5.1 natumia kwa muda sasa. Huwezi kufananisha na brand nyingi maarufu, iko vizuri sana.
Ulichukua ngapi.? Bei i mean
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…