bless on JF-Expert Member Joined May 22, 2026 Posts 1,213 Reaction score 2,938 Sep 21, 2026 #61 Mbaga Jr said: Watu wa android hamjawahi kuwa serious π Click to expand... Aliyemjibu hakumpa jibu lililojitosheleza alimwambia sound bar ni kifaa Cha kukuzia sauti in good technology
Mbaga Jr said: Watu wa android hamjawahi kuwa serious π Click to expand... Aliyemjibu hakumpa jibu lililojitosheleza alimwambia sound bar ni kifaa Cha kukuzia sauti in good technology
bless on JF-Expert Member Joined May 22, 2026 Posts 1,213 Reaction score 2,938 Sep 21, 2026 #62 tpaul said: Ni kitu gani hii mkuu? Click to expand... Kama wewe ni mpenzi wa muziki tu chukua sub woofer, kama ni mpenzi wa movie na muziki chukua sound bar kama wewe ni mpenzi wa movie tu chukua home theater
tpaul said: Ni kitu gani hii mkuu? Click to expand... Kama wewe ni mpenzi wa muziki tu chukua sub woofer, kama ni mpenzi wa movie na muziki chukua sound bar kama wewe ni mpenzi wa movie tu chukua home theater
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,789 Reaction score 10,577 Sep 21, 2026 #63 Smart Guy said: Hivi zinakuaga na mziki mziko kama ule wa ule wa gari? Click to expand... Ukitaka performative sound hela inakuwa ndefu. Mfano JBL 1300MK2.
Smart Guy said: Hivi zinakuaga na mziki mziko kama ule wa ule wa gari? Click to expand... Ukitaka performative sound hela inakuwa ndefu. Mfano JBL 1300MK2.