EDIGAR JO
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 422
- 444
Ni hivi , Baba Mkubwa wangu alikuwa na mke na akapata naye watoto ,mwishowe akamfukuza huyo mwanamke .
Lakini kutokana yule mwanamke alipendwa sana na Bibi yangu ( Mama yake Baba mkubwa ) alimsaidia sehemu ya kuishi akawa jirani tu .Baadae yule mwana mama alizaa watoto wengine 3 na watu wengine jumla ikawa 5 .
Lakini huyu Baba Mkubwa akaona ni bora na yeye we anaenda kusalimia pale ingawa wale watoto wa awamu ile sio wake kwahiyo akawa anaenda kupowa japo washaachana .
Ingawa hakuwapenda hao watoto waliozaliwa nje ya ndoa .
Sasa yule mkubwa ambaye alizaliwa nje ya ndoa alipata mke mnamo 2000 lakini wakazaa watoto 2 ,naye akagombana na mkewe wakaachana ila mama wa huyo kijana akarudisha fadhila za mkwewe(Bibi yangu ) kwa kuamua kumjengea nyumba pale pale.
Naye huyo mwanadada akazaa watoto 2 tena jumla 4, ingawa mumewe alivyokuwa akirudi pale nyumbani akimkuta yule dada anamumezea mate lakini hakupenda wale watoto.Kama yeye alivyofanyiwaga , hivi mnaona kama mimi kwamba kaka anatenda dhambi au kwenu ikoje ?