Msaada kwa wale wenye familia.

Msaada kwa wale wenye familia.

EDIGAR JO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2024
Posts
422
Reaction score
444
Ni hivi , Baba Mkubwa wangu alikuwa na mke na akapata naye watoto ,mwishowe akamfukuza huyo mwanamke .

Lakini kutokana yule mwanamke alipendwa sana na Bibi yangu ( Mama yake Baba mkubwa ) alimsaidia sehemu ya kuishi akawa jirani tu .Baadae yule mwana mama alizaa watoto wengine 3 na watu wengine jumla ikawa 5 .

Lakini huyu Baba Mkubwa akaona ni bora na yeye we anaenda kusalimia pale ingawa wale watoto wa awamu ile sio wake kwahiyo akawa anaenda kupowa japo washaachana .

Ingawa hakuwapenda hao watoto waliozaliwa nje ya ndoa .

Sasa yule mkubwa ambaye alizaliwa nje ya ndoa alipata mke mnamo 2000 lakini wakazaa watoto 2 ,naye akagombana na mkewe wakaachana ila mama wa huyo kijana akarudisha fadhila za mkwewe(Bibi yangu ) kwa kuamua kumjengea nyumba pale pale.

Naye huyo mwanadada akazaa watoto 2 tena jumla 4, ingawa mumewe alivyokuwa akirudi pale nyumbani akimkuta yule dada anamumezea mate lakini hakupenda wale watoto.Kama yeye alivyofanyiwaga , hivi mnaona kama mimi kwamba kaka anatenda dhambi au kwenu ikoje ?
 
Baba "Y" wangu = ni kama Baba Mkubwa au Baba mdogo wangu😂😂😂
Nyie ni mbwenyenye kweli , mmeshindwa kuelewa nini sasa !!!🙄
 
Ni hivi , Baba Mkubwa wangu alikuwa na mke na akapata naye watoto ,mwishowe akamfukuza huyo mwanamke .

Lakini kutokana yule mwanamke alipendwa sana na Bibi yangu alimsaidia sehemu ya kuishi ni jirani tu .Baadae yule mwana mama alizaa watoto wengine 3 na watu wengine jumla ikawa 5 .

Lakini huyu Baba y akaona ni bora na yeye we anaenda kusalimia pale ingawa wale watoto wa awamu ile sio wake kwahiyo akamurudisha kijanja wakaendelea kuishi.

Ingawa hakuwapenda hao watoto waliozaliwa nje .

Sasa yule mkubwa ambaye alizaliwa nje ya ndoa na huyo mama , ni wa 1980 akapata mke mnamo 2000 lakini wakazaa watoto 2 ,naye akagombana na mkewe wakaachana ila mama wa huyo kijana akarudisha fadhila za mkwewe kwa kuamua kumjengea nyumba pale pale .

Naye huyo mwanadada akazaa watoto 2 tena jumla 4, ingawa mumewe alivyokuwa akirudi pale nyumbani akimkuta yule dada anamumezea mate lakini hakupenda wale watoto.Kama yeye alivyofanyiwaga , hivi mnaona kama mimi kwamba kaka anatenda dhambi au kwenu ikoje ?
Roho ya familia
 
mbona kama hayakuhusu kwanini uyaingilie? jishughulishe na yenye kukuhusu.
Mzigo unanilemea mimi jomba , hao mtoto mimi nimewachukuwa na nimewapeleka sehemu walelewe baada ya mama ao ambaye alikuwa shemeji yangu kufariki. Ndio maan naingilia 🙄
 
Back
Top Bottom