Msaada kwa wenye kufahamu kuhusu malipo ya Serikali

Nadhani hii inaitwa subsistence allowance, yaani malipo ya posho za siku 14 mara unapoanza kazi. Tulioanza kazi miaka ya nyuma hii pesa mara tuu ukifunguliwa faili la ajira ilikuwa unalipwa right away, kwa sababu serikali inakuwa imeshaitenga kwenye bajeti pamoja na mishahara kwa waajiriwa wote wapya. Sijui mifumo ya ajira nowadays imekuwaje aisee, tena with advanced technology and revenue collection...
 
Mfumo wa malipo wa BOT unasumbua nchi nzima Kwa takribani wiki sasa.Vumilia kijana maelezo uliyopewa ni ya kweli
Nadhani hiyo ni excuse wanayotumia, mfumo wa BOT uwe down nchi nzima for a week??
 
Kuna bureaucracy imetengenezwa na serikali ili kudhibiti matumizi ya fedha ambayo ni ya kijinga sana kwa sababu haijawahi kuzuia watu kuiba bali imefanikiwa kuumiza na kunyanyasa watumishi wa ngazi za chini!
 
@s
Uuuuwwwii!!!!!
Serikali tunakufaaa tusaidieeee....
Supu ya kokoto @Muscovy pooleni sana. Mpaka leo bila shaka mtakuwa mmekwisha pata fedha zenu...Hii ndo mifumo iliyoko. Kama bado, basi kuna shida katika Taasisi ya B.o.T maana hii siyo mara ya kwanza malipo kugandishwa huko, malipo hayatoki ilhali taratibu zingine zilishakamilishwa muda mrefu na wahusika wa ulipaji ngazi za chini.

Kwenu wajuvi wa taratibu za kifedha, ni nani wa kulaumiwa katika jambo kama hili? Na je, kwanini inakuwa hivi?
 
Ileje bila bila japo wenzetu tayari
 
Taratibu za malipo ya stahiki za watumishi ajira mpya zimekamilika Ila tunaambiwa tatizo liko BOT nipeni mbinu hata ya kulalamika kwa Mheshimiwa Rais maana huku vijijini tunaumia. Jameeeni wakubwa wetu na mlio na uzoefu tusaidieni huku ILEJE mkoani SONGWE ni pamoto Sana.
 
Comment bora kabisaaa.
Kudo.
 
Pesa chenga watu hawajapata Hadi Leo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…