Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Heshima kwenu waungwana
Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu
Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za madai kwa mara ya kwanza?
Na kitu kingine ambacho ningependa kufahamu, je kunakua na Ile nenda rudi nenda rudi kama ya awali au anaejaza hii fomu ya mapunjo Kuna baadhi ya usumbufu anakua ameepukana nao ?
Nitangulize shukrani kwa watakaonisaidia majibu ya hayo maswali yangu