Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Salama, katika hili mimi nijuavyo ni kwamba yule anaedai Mapunjo yake nssf anatakiwa kuhakikisha kile kiasi anachokidai kiwe kimeingizwa kupitia uchangiaji wake, baada ya hapo ataandika barua ya mapunjo katika ofisi husika baada ya hapo Mapunjo yake ayapata ili aendelee na mitikasi yake.Heshima kwenu waungwana
Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu
Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za madai kwa mara ya kwanza?
Na kitu kingine ambacho ningependa kufahamu, je kunakua na Ile nenda rudi nenda rudi kama ya awali au anaejaza hii fomu ya mapunjo Kuna baadhi ya usumbufu anakua ameepukana nao ?
Nitangulize shukrani kwa watakaonisaidia majibu ya hayo maswali yangu
Asante sanaSalama, katika hili mimi nijuavyo ni kwamba yule anaedai Mapunjo yake nssf anatakiwa kuhakikisha kile kiasi anachokidai kiwe kimeingizwa kupitia uchangiaji wake, baada ya hapo ataandika barua ya mapunjo katika ofisi husika baada ya hapo Mapunjo yake ayapata ili aendelee na mitikasi yake.
Kwa uelewa wangu endapo mtu huyo atakuwa ameingiziwa michango yake, mapunjo yake yataingia katika kipindi cha mwezi mmoja, ila unaweza wacheki kwenye mitandao yao ya kijamii pia wapo fasta watakuhudumiaAsante sana
Ila naomba nikuulizie kitu cha mwisho
Huwa inachukua muda gani mpaka kupata malipo yako au ni sawa tu na mtu alieenda kujaza fomu za madai kwa mara ya kwanza ?
Nami ninauliza hapo hapo kwenye Mapunjo ,mfano miye Nimechukua 33.3% kwa muda wa miezi sita ,kwa Sasa imepita miezi 3.Je ninaweza kwenda Nssf Kudai Mapunjo yaliyobaki.?MsaadaKwa uelewa wangu endapo mtu huyo atakuwa ameingiziwa michango yake, mapunjo yake yataingia katika kipindi cha mwezi mmoja, ila unaweza wacheki kwenye mitandao yao ya kijamii pia wapo fasta watakuhudumia
Asante sana 🙏Kwa uelewa wangu endapo mtu huyo atakuwa ameingiziwa michango yake, mapunjo yake yataingia katika kipindi cha mwezi mmoja, ila unaweza wacheki kwenye mitandao yao ya kijamii pia wapo fasta watakuhudumia