Habari za muda huu
Naomba kuuliza kwa wetu wenye uelewa wa haya masuala
Inapotokea nimeajiriwa na kampuni ya kigeni ambayo mfano ipo Uganda kisha ikafungua tawi lingine hapa Tanzania na kuendesha shughuli zake.
Ikitokea kampuni ikashindwa kujiendesha baada ya muda fulani na kupelekea kufungwa wakati huo kuna madeni ya watumishi ya NSSF na makato ya bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, je ni wapi napaswa kuanzia ili niweze kulipwa stahiki zangu ?
Au ndo inakua imekula kwangu ?
Naomba kwa wale ambao tu wapo na uelewa wa haya mambo mana sio jambo la mzaha