Msaada kwa wenye ujuzi wa IBAN na SWIFT CODE

Msaada kwa wenye ujuzi wa IBAN na SWIFT CODE

Nikadhan CEH ya Offensive Sec, ile natafutaga mtanzania alioitoboa, najua wapo wachache lkn
nina jamaa yangu moja alipasua ya Offensive. Kama ukipasua elearnSecurity hata Offensive unatoboa wana namna moja tu kuanzia shule na practical.. shule yao inahitaji sana mda wa practise .. kuliko theory. maana majibu yao ya kwa mfano yao ya kuchagua utayapata tu baada ya tu kufanya testing na kufaulu .. wana challenge nzuri sana na ni real
 
Nilishahangaika sana hadi nikaacha hela zangu hukohuko.

Wahudumu wa banks hawajui hata IBAN na swifcode tofauti yake ni nini.

International Wire transfers zote lazima utoe IBAN na swift code, sasa NMB na NBC wanakupa swiftcode tu, IBAN utakesha, nilishahangaika sana hadi nikapotezea kabisa
IBAN ni kwa europe, uae nadhani na baadhi ya latino american countries hapa tanzania huwezi pewa hii. Inaapply kwa SEPA transfers kwa nchi za ulaya. Ungetengeneza akaunti ya virtual hata ya wise ya euro ukahamishia humo then ukahamishia kwa akaunti yako
 
Iban ni account inayoanza na code ya nchi kipesa..ambapo kwa Tz na africa hatuna Iban...iban zipo UAE na Europe tu

Mfano
Dubai code yao ni : AE
Uk...ni : GB
Spain ni ES

Sio kila nchi kuwa ina Iban..narudia Iban haipo kwa kila nchi..mfano China,US,India au Asia kwa ujumla hawana Iban..ila UAE na Europe lazima uweke Iban

Iban inakuwa na code ya bank ,branch na utambulisho wa taifa

Nchi nyingi ambazo hazina Iban..wanatumia number za kawaida..hivyo msiwalaumu NMB au crdb

Maana wengine unakuta sio kitengo chake na anakuwa hajui

Nchi zenye Iban number...unapotumia number ambayo ni ya kawaida ka kwetu..

Muamala unakuwa rejected instantly.. Na bank inakulima charges kama kawaida ya dola 50 ..hivyo IBan ni mandotory kwa payment ya nchi tajwa hapo juu
 
Natumaini wote ni wazima wa afya,

Naomba kupata maeleze kuhusiana na IBAN na SWIFT CODE za bank.., nimejaribu ku-Google Nimesoma maelezo lakini kuna points sijazielewa.

Natanguliza shukran
Swift code utapata lakini IBAN kwa tanzania hatutumii huu mfumo so bank hawawezi kukupatia. All you need kupokea pesa tz ni SWIFT code
 
nina jamaa yangu moja alipasua ya Offensive. Kama ukipasua elearnSecurity hata Offensive unatoboa wana namna moja tu kuanzia shule na practical.. shule yao inahitaji sana mda wa practise .. kuliko theory. maana majibu yao ya kwa mfano yao ya kuchagua utayapata tu baada ya tu kufanya testing na kufaulu .. wana challenge nzuri sana na ni real
Ofcoz.

Niliwahi kupractice kwa ajili ya CEH miaka ya nyuma kdg, kuna machines za hackthebox pia ukicheza na kusolve zile challenges zao zinakuweka fit kiasi. Fee ya mtihani wao ndo ilikua changamoto tu enzi hizo, labda ningekua na hilo gamba.
 
Metasploit Yeaaah miaka miwili mbele waraza artificial tutauona
😅😅😅 premium yao bei $ 15,000 na usheee.. nina plan ya ka banda umiza ka hizo issue nikasema nitaishia kununua Nesus panoja na Burpsuite tu.. hizo zingine nitaendelea tumia za bure maana bei zake sio za mtanzania mie
 
Ofcoz.

Niliwahi kupractice kwa ajili ya CEH miaka ya nyuma kdg, kuna machines za hackthebox pia ukicheza na kusolve zile challenges zao zinakuweka fit kiasi. Fee ya mtihani wao ndo ilikua changamoto tu enzi hizo, labda ningekua na hilo gamba.
Sure. Certication zenye uzito zote bei mkasi kinomaa.. na ukiwa nazo mbele unakua deal hapa bongo bado .. kama mahala wanapo hitaji watu wa field practical zaidi Offensive na elearnSecurity zina kimbiliwa sana.. ila kama wanataka maboss wa Administration utakuta wanachukia wenye E-council, Isaac, Isc.. na wengine neo kadhaa
 
Back
Top Bottom