dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
nambie kuhusu drill bit na Bosch drilling machine nikiwashe sa iviAcha bhasi.
Weka maarifa wengine wapite nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nambie kuhusu drill bit na Bosch drilling machine nikiwashe sa iviAcha bhasi.
Weka maarifa wengine wapite nayo.
Mvivu hakai humo.jamaa wana practical harisi wapo kama offensive kama unakalili hutoboi 😅😅😅
Bhasi baba bhaaaasi.nambie kuhusu drill bit na Bosch drilling machine nikiwashe sa ivi
nina jamaa yangu moja alipasua ya Offensive. Kama ukipasua elearnSecurity hata Offensive unatoboa wana namna moja tu kuanzia shule na practical.. shule yao inahitaji sana mda wa practise .. kuliko theory. maana majibu yao ya kwa mfano yao ya kuchagua utayapata tu baada ya tu kufanya testing na kufaulu .. wana challenge nzuri sana na ni realNikadhan CEH ya Offensive Sec, ile natafutaga mtanzania alioitoboa, najua wapo wachache lkn
National Anthem anatiririka vyema juu hapoBhasi baba bhaaaasi.
kama hujinoi kwenye practical utaishia kuona tu hutokaa ukatoboa.. najiandaa kuanza Reverse Engineering pamoja na Mobile Pen test... practical mwanzo mwishoMvivu hakai humo.
😅😅😅😅 kipidni nafunga CCTVNational Anthem anatiririka vyema juu hapo
Uhuni tu.National Anthem anatiririka vyema juu hapo
IBAN ni kwa europe, uae nadhani na baadhi ya latino american countries hapa tanzania huwezi pewa hii. Inaapply kwa SEPA transfers kwa nchi za ulaya. Ungetengeneza akaunti ya virtual hata ya wise ya euro ukahamishia humo then ukahamishia kwa akaunti yakoNilishahangaika sana hadi nikaacha hela zangu hukohuko.
Wahudumu wa banks hawajui hata IBAN na swifcode tofauti yake ni nini.
International Wire transfers zote lazima utoe IBAN na swift code, sasa NMB na NBC wanakupa swiftcode tu, IBAN utakesha, nilishahangaika sana hadi nikapotezea kabisa
Metasploit Yeaaah miaka miwili mbele waraza artificial tutauonakama hujinoi kwenye practical utaishia kuona tu hutokaa ukatoboa.. najiandaa kuanza Reverse Engineering pamoja na Mobile Pen test... practical mwanzo mwisho
Swift code utapata lakini IBAN kwa tanzania hatutumii huu mfumo so bank hawawezi kukupatia. All you need kupokea pesa tz ni SWIFT codeNatumaini wote ni wazima wa afya,
Naomba kupata maeleze kuhusiana na IBAN na SWIFT CODE za bank.., nimejaribu ku-Google Nimesoma maelezo lakini kuna points sijazielewa.
Natanguliza shukran
Ofcoz.nina jamaa yangu moja alipasua ya Offensive. Kama ukipasua elearnSecurity hata Offensive unatoboa wana namna moja tu kuanzia shule na practical.. shule yao inahitaji sana mda wa practise .. kuliko theory. maana majibu yao ya kwa mfano yao ya kuchagua utayapata tu baada ya tu kufanya testing na kufaulu .. wana challenge nzuri sana na ni real
😅😅😅 premium yao bei $ 15,000 na usheee.. nina plan ya ka banda umiza ka hizo issue nikasema nitaishia kununua Nesus panoja na Burpsuite tu.. hizo zingine nitaendelea tumia za bure maana bei zake sio za mtanzania mieMetasploit Yeaaah miaka miwili mbele waraza artificial tutauona
Ni CORUTZTZ zipo mtandaoni za kila bankNaweza pata ya CRDB au ni lazima kwenda bank
Swift code mfano CRDB..ni CORUTZTZSwift code utapata lakini IBAN kwa tanzania hatutumii huu mfumo so bank hawawezi kukupatia. All you need kupokea pesa tz ni SWIFT code
Naunga mkono hojaSwift code mfano CRDB..ni CORUTZTZ
Swift lazima iwepo kama utambulisho wa bank kwenye TT au TISS bila kujua swift code huwezi fanya malipo yoyote ya TT au Tiss
Huwezi amini natengeneza diss project ya burpsuite, hii kitu iko overpriced.Burpsuite tu.
Sure. Certication zenye uzito zote bei mkasi kinomaa.. na ukiwa nazo mbele unakua deal hapa bongo bado .. kama mahala wanapo hitaji watu wa field practical zaidi Offensive na elearnSecurity zina kimbiliwa sana.. ila kama wanataka maboss wa Administration utakuta wanachukia wenye E-council, Isaac, Isc.. na wengine neo kadhaaOfcoz.
Niliwahi kupractice kwa ajili ya CEH miaka ya nyuma kdg, kuna machines za hackthebox pia ukicheza na kusolve zile challenges zao zinakuweka fit kiasi. Fee ya mtihani wao ndo ilikua changamoto tu enzi hizo, labda ningekua na hilo gamba.