Msaada kwenu nyie moderator nisaidieni kuifuta acount yangu ya hii ya jf.

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute.

Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe ombi kwenu nyote munisamehe yule ambaye nimemgusa hisia zake kwa namna yeyote kwenye harakati hii mbaya kwangu
Pia naiomba serikali hii viongozi wake na wananchi wote kwa ujumla mnisamehe pale ambapo kalamu yangu iliwakwaza kwa namna yeyote ile namba nisamehewe sana
Kwa herini sitopost wala kuchangia chochote ndani ya jukwaa hili tena
 
Dini imewaingia sio? Sema watu wabalance mambo tu inakuwa sawa lakini ukiacha kimoja kikuingie sana inageuka tatizo!
Tatizo ni pale ukikwepa elimu ya dunia, alafu ukajikita zaidi kwenye vitabu vya dini.. Ni bomu moja Baya sana kwenye jamii. 😅😅
 
Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute.

Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe ombi kwenu nyote munisamehe yule ambaye nimemgusa hisia zake kwa namna yeyote kwenye harakati hii mbaya kwangu
Pia naiomba serikali hii viongozi wake na wananchi wote kwa ujumla mnisamehe pale ambapo kalamu yangu iliwakwaza kwa namna yeyote ile namba nisamehewe sana
Kwa herini sitopost wala kuchangia chochote ndani ya jukwaa hili tena

Acha uwoga, au umepata teuzi ktk CCM au ajira private sector, hivyo unadhani ni muhimu kufuta digital footprint.

Bahati mbaya digital footprint haifutiki katika majukwaa yote ya kidigitali, tayari umeigia ktk makabati ya kidigitali, historia haifutiki

More info :
FROM SILICON VALLEY:

Digital geek Answers this FAQ:

Question : Can you erase digital footprint

No, a digital footprint cannot be deleted completely, but you can significantly reduce and manage your online presence.

Most users on digitaltech agree that achieving a 100% wipe is nearly impossible because data is copied, archived, or shared by third parties. However, you can clean up a large portion of your footprint by taking specific steps.

Why Complete Erasure is Impossible

Data Replication: Copies of your old posts, photos, and profile info live on external servers, internet archives, or other people's screenshots.

Data Brokers: Companies automatically scrape public records and aggregate your personal details into people-search databases.

Legal Retention: Financial institutions, governments, and some tech platforms legally must keep records even after you ask them to delete yours

View: https://m.youtube.com/watch?v=Zpe8FySSJVI
 
Tatizo ni pale ukikwepa elimu ya dunia, alafu ukajikita zaidi kwenye vitabu vya dini.. Ni bomu moja Baya sana kwenye jamii. 😅😅
Aisee! Hii ni kweli hata elimu ya mzungu tu, unakuta mtu ana cope mpaka sauti za kidini badala ya kutumie ufahamu wake vizuri! Aisee ni kheri ukabalance vyote hata ukiona uache kimoja u got nothing to lose..
 
Aisee! Hii ni kweli hata elimu ya mzungu tu, unakuta mtu ana cope mpaka sauti za kidini badala ya kutumie ufahamu wake vizuri! Aisee ni kheri ukablance vyote hata ukiona uache kimoja u got nothing to lose..
Yeah mkuu, ila dini nyingine hazitaki hayo mambo, wamejikita zaidi kwenye kulishana matango poli.
 
Sema Waislamu miyeyusho sana mbona nchi za waarabu ambayo ndio roli modo wenu wanajihusisha na siasa wana wanasiasa yaani wabunge, madiwani, marais na wafalme. Itikadi kali kuhusu dini huwa ipo bongo tu kwenu kila kitu ni haram mziki, mpira, kuimba, nk wenzenu hawana kabisa wao ndio wanaongoza kuwa na viwanja vizuri, timu nzuri, wanaimba vizuri hata hijab hawavai wako vichwa wazi najua utabisha tazama Morocco, Algeria, Tunisia na Misri.
 
Wewe umeijuaje dini ya mleta mada? Unasema waislamu miyeyusho? Vipi makafiri wanao fukuana tope na kwenda kuhiji Vatican,wao sio miyeyusho? Wao ni watakatifu sio?

Halafu hata kama mleta mada angekua ameitaja dini yake,wewe vipi uhukumu dini yote kwa mtazamo,msimamo au maamuzi ya mtu mmoja? Hivi una akili timamu kweli wewe?
 
Attachments

  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 9
Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute.

Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe ombi kwenu nyote munisamehe yule ambaye nimemgusa hisia zake kwa namna yeyote kwenye harakati hii mbaya kwangu
Pia naiomba serikali hii viongozi wake na wananchi wote kwa ujumla mnisamehe pale ambapo kalamu yangu iliwakwaza kwa namna yeyote ile namba nisamehewe sana
Kwa herini sitopost wala kuchangia chochote ndani ya jukwaa hili tena
Moderators tumepokea tutaifuta akaunti yako baada ya siku saba.
 
Back
Top Bottom