Sema huna akili kichwani, Akili yako yote umehamishia kwenye vitu vya kusadikika.Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote,
I had the same qn in my mindWho the fvck are you?
Yoooh!🫢Sema huna akili kichwani, Akili yako yote umehamishia kwenye vitu vya kusadikika.
Kitu kinaitwa Dini ni cha kukiogopa sana, mtu kuwa zezeta huwa ni dakika sifuri. 😅 😅Yoooh!🫢
Dini imewaingia sio? Sema watu wabalance mambo tu inakuwa sawa lakini ukiacha kimoja kikuingie sana inageuka tatizo!Kitu kinaitwa Dini ni cha kukiogopa sana, mtu kuwa zezeta huwa ni dakika sifuri. 😅 😅
Tatizo ni pale ukikwepa elimu ya dunia, alafu ukajikita zaidi kwenye vitabu vya dini.. Ni bomu moja Baya sana kwenye jamii. 😅😅Dini imewaingia sio? Sema watu wabalance mambo tu inakuwa sawa lakini ukiacha kimoja kikuingie sana inageuka tatizo!
Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute.
Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe ombi kwenu nyote munisamehe yule ambaye nimemgusa hisia zake kwa namna yeyote kwenye harakati hii mbaya kwangu
Pia naiomba serikali hii viongozi wake na wananchi wote kwa ujumla mnisamehe pale ambapo kalamu yangu iliwakwaza kwa namna yeyote ile namba nisamehewe sana
Kwa herini sitopost wala kuchangia chochote ndani ya jukwaa hili tena
Aisee! Hii ni kweli hata elimu ya mzungu tu, unakuta mtu ana cope mpaka sauti za kidini badala ya kutumie ufahamu wake vizuri! Aisee ni kheri ukabalance vyote hata ukiona uache kimoja u got nothing to lose..Tatizo ni pale ukikwepa elimu ya dunia, alafu ukajikita zaidi kwenye vitabu vya dini.. Ni bomu moja Baya sana kwenye jamii. 😅😅
Yeah mkuu, ila dini nyingine hazitaki hayo mambo, wamejikita zaidi kwenye kulishana matango poli.Aisee! Hii ni kweli hata elimu ya mzungu tu, unakuta mtu ana cope mpaka sauti za kidini badala ya kutumie ufahamu wake vizuri! Aisee ni kheri ukablance vyote hata ukiona uache kimoja u got nothing to lose..
Wewe umeijuaje dini ya mleta mada? Unasema waislamu miyeyusho? Vipi makafiri wanao fukuana tope na kwenda kuhiji Vatican,wao sio miyeyusho? Wao ni watakatifu sio?Sema Waislamu miyeyusho sana mbona nchi za waarabu ambayo ndio roli modo wenu wanajihusisha na siasa wana wanasiasa yaani wabunge, madiwani, marais na wafalme. Itikadi kali kuhusu dini huwa ipo bongo tu kwenu kila kitu ni haram mziki, mpira, kuimba, nk wenzenu hawana kabisa wao ndio wanaongoza kuwa na viwanja vizuri, timu nzuri, wanaimba vizuri hata hijab hawavai wako vichwa wazi najua utabisha tazama Morocco, Algeria, Tunisia na Misri.
Moderators tumepokea tutaifuta akaunti yako baada ya siku saba.Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute.
Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe ombi kwenu nyote munisamehe yule ambaye nimemgusa hisia zake kwa namna yeyote kwenye harakati hii mbaya kwangu
Pia naiomba serikali hii viongozi wake na wananchi wote kwa ujumla mnisamehe pale ambapo kalamu yangu iliwakwaza kwa namna yeyote ile namba nisamehewe sana
Kwa herini sitopost wala kuchangia chochote ndani ya jukwaa hili tena