Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!?

Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
 
Japokuwa heading Yako na content ni vitu fofauti.

Umejaribu kutumia akili mnemba ?ukapata majibu.

Pia hao ulio wataja hawaingizi maneno, bali wanaingiza sauti, kwenye video.

Softwares zote za ku edits videos zinafanya hicho kitu (voice over).
Unatakiwa uwe na microphone, computer.
 
Sawa mkuu nimekupata vizuri
 
Hata simu inafanya, X recorder kama sijakosea, yenyewe inafanya screen recording ambayo inasapoti na sauti, so unakua unaongea huku unaona kinachofanyika mda huo huo.
 
Back
Top Bottom