Msaada kwenye tuta wakuu!! nina changamoto ya kutofika kileleni kabisa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
Baada ya salamu kijana wenu pendwa @naliangwena nimeamua kuja kwenu kutafuta msaada kwa hali na mali kwa maana natambua kuwa penye weni basi kuna mengi.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, sahivi nimejikuta kwenye big trouble la kutofika kileleni kabisa hata ule mzunguko wa kwanza nikianza kutafuna mbususu ya shemeji zenu haswa hawa watoto wa 2000 huwa simalizi kabisa yaani, mwanzo niizani labda mazoezi ya makali ya karatee ninayokua napasha kila asubuhi ninapoamka kabla ya mishemishe zangu za kilasiku lakini siyo hivyo maana niliamua kuacha kabisa mazoezi.

Ninaposema nina changamoto basi mjue kuwa ninachangamoto kweli kweli maana imefikia hatua mademu wa kitaa niliopita nao wameanza kusambaza habari mbaya kwa wenzao kuwa mimi ni moto wa kuotea mbali haswa ninapokamata mbususu zao (fanya mapenzi).

Na nilivyomweusi tii, mrefu mwenye misuli iliyokomaa kama picha yyangu hapo juu kwenye profile kwa kweli nimekua ni mtu wa kutisha wadada wanapopewa habari zangu za kutofika kileleni..

Wakuu nahitaji msaada kutoka kwenu haraka iwezekanavyo iwe dawa za kisayyansi sawa na hata dawa za kienyeji sawa mimi nahitaji kupona tu.
 
Sawa mkuu, endelea kutokufika!
 
Sawa mkuu,
Lipia tangazo afu subiri Pm waje kwa wingi. We andaa vilainishi na kinga tuu
 
Pole kiongozi, relax wakati wa tendo, usi-concentrate sana kuwaridhisha shemeji zetu, usikamie Sana tendo, hakikisha upo hydrated (umekunywa maji ya kutosha) na pia jizoeshe kulala vya kutosha. Pia punguza masturbation.
 
Baada ya salamu kijana wenu pendwa @naliangwena nimeamua kuja kwenu kutafuta msaada kwa hali na mali kwa maana natambua kuwa penye weni basi kuna mengi.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, sahivi nimejikuta kwenye big trouble la kutofika kileleni kabisa hata ule mzunguko wa kwanza nikianza kutafuna mbususu ya shemeji zenu haswa hawa watoto wa 2000 huwa simalizi kabisa yaani, mwanzo niizani labda mazoezi ya makali ya karatee ninayokua napasha kila asubuhi ninapoamka kabla ya mishemishe zangu za kilasiku lakini siyo hivyo maana niliamua kuacha kabisa mazoezi.

Ninaposema nina changamoto basi mjue kuwa ninachangamoto kweli kweli maana imefikia hatua mademu wa kitaa niliopita nao wameanza kusambaza habari mbaya kwa wenzao kuwa mimi ni moto wa kuotea mbali haswa ninapokamata mbususu zao (fanya mapenzi).

Na nilivyomweusi tii, mrefu mwenye misuli iliyokomaa kama picha yyangu hapo juu kwenye profile kwa kweli nimekua ni mtu wa kutisha wadada wanapopewa habari zangu za kutofika kileleni..

Wakuu nahitaji msaada kutoka kwenu haraka iwezekanavyo iwe dawa za kisayyansi sawa na hata dawa za kienyeji sawa mimi nahitaji kupona tu.
Ushawahi kuugua magonjwa ya zinaa kama gono na mengineyo?
 
Ukiwa unakazwa usipige miluzi utafika kileleni vizuri tu!
 
Back
Top Bottom