NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Kuwa seriouslipia tangazo kaka
Endelea kubeti mkuuTunailaumu CCM bure tuu
asee pole sana mkuu ..kama ni kweli nakuelewa unachokipitia mana kuna wakati iyo hali ilinitesa kimtindoNimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao,
Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia Kuwa inawezekana Sina sparms za kutosha inapaswa nitumie protein kwa wingi haswa karanga Nazi n.k,
Nimefanya hivyo bado tatizo lipo pale naweza fanya mapenzi ndani ya lisaa lizima bila ya kufika kilele, mwenzangu anafika mpaka anachoka na mpaka inakua kero siyo mapenzi tena inakua ni vurugu na ubakaji
Hilo ndiyo tatizo langu wakuu nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mtu mwenye ushauri unaofaa nitaufanyia Kazi wakuu
Angalizo: sitaki Mambo ya Simba na Yanga kwenya Huu Uzi
hujui hata unacho criticize mzee ..lipia tangazo kaka
Watu wanachukulia masihalaasee pole sana mkuu ..kama ni kweli nakuelewa unachokipitia mana kuna wakati iyo hali ilinitesa kimtindo
Kwa hiyo kama Nina shida nikae kimyaKijana aise na msaada huyu kwny taifa ambalo lina hitaji ukumbozi kutoka kwa mkoloni wa kizanzibar
NdiyoKwani lazima ufike
Si ndo mnafurahiaga kupelwkewa moto?Pole sana hamna mwanamke anaenjoy mwanaume anayefika lisaa kwakweli
Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao,