Wanama
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 277
- 319
Habarini wana JamiiForums,
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Mnamo wiki uliyopita hii nilipokea meseji kutoka kwa namba ngeni nisiyoitambua(tapeli),sms yenyewe ilikuwa ikinieleza kumtafta mganga Sanga ambaye ni mtaalamu wa dawa za jadi na ikaweka namba za mganga Sanga.
Baada ya sms iyo kunifikia Mimi nilimrudishia iyo iyo sms alontumia uyo tapeli kwenye namba ake iyo Kisha nikaachana nae.
Sasa kesho yake napata Taarifa kuwa laini yangu pamoja na Namba zangu za NIDA zimefungwa kutokana na kufanya utapeli/udanganyifu.
Sasa sielewei process ya kufatilia na kufungua Lain na kitambulisho changu kinaanzia wapi. Je,Ni NIDA,polisi,ama TCRA au Niende kwa Makao Makuu ya Mtandao husika?