Msaada: Laini yangu imefungiwa kwa kufanya hivi

Msaada: Laini yangu imefungiwa kwa kufanya hivi

Habarini wana JamiiForums,

Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.

Mnamo wiki uliyopita hii nilipokea meseji kutoka kwa namba ngeni nisiyoitambua(tapeli),sms yenyewe ilikuwa ikinieleza kumtafta mganga Sanga ambaye ni mtaalamu wa dawa za jadi na ikaweka namba za mganga Sanga.

Baada ya sms iyo kunifikia Mimi nilimrudishia iyo iyo sms alontumia uyo tapeli kwenye namba ake iyo Kisha nikaachana nae.
Sasa kesho yake napata Taarifa kuwa laini yangu pamoja na Namba zangu za NIDA zimefungwa kutokana na kufanya utapeli/udanganyifu.

Sasa sielewei process ya kufatilia na kufungua Lain na kitambulisho changu kinaanzia wapi. Je,Ni NIDA,polisi,ama TCRA au Niende kwa Makao Makuu ya Mtandao husika?
Du hiyo ni balaa
 
Si aende kwenye mtandao wa lain yake wataona sms ilitoka wapi kabla hajawafowardia
na namba ya nida? huyu aende tcra akajieleze tuuu maaana hao kampuni ya line hawatoweza kuifungua nida.
huyu amefanya kosa la wazi na lazima limgharimu.
 
Nimejifunza, kuhusu kupelekwa Selo ndo bdo nawaza nikienda kuripoti japo ushahidi wa sms waliyonitumia pamoja na nilimrudishia bado upo ila Nchi yetu haieleweki hii Wanaweza kunigeukia Mimi.
Hapo ukikosea step lazima upigwe pesa ndefu na wazee wa fulsa "mapolisi" na selo utakaa
 
Tafuta lain nyingine haya mambo hayaeleweki unaweza jikuta noti zinakutoka + muda
Ukusikia kuwa hadi kitambulisho chake kimepigwa pin hii inamaana ni mtuhumiwa hivyo anaweza kukamatwa popote atakapo jaribu kutumia kitamburisho cha nida
 
na namba ya nida? huyu aende tcra akajieleze tuuu maaana hao kampuni ya line hawatoweza kuifungua nida.
huyu amefanya kosa la wazi na lazima limgharimu.
Hii ishu kwa sasa ni tcra Tu aende na sms alitumiwa yeye namba ilivyotuma SMS kwa mara ya kwanza atoe maelezo mjengoni hapo maeneo ubungo kama sikosei awe na viambata vya kutosha ikiwemo na RB
 
Kilichotokea ni namba yako imewasiliana na namba nyingine iliyowai kuripotiwa kuwa ni tapeli, (outomatic imejifunga) utaratibu ni ule ule, chukua kitambulisho chako cha nida, nenda ofisi za mtandao unaotumia wakufungulie line yako maisha yaendelee.

Kinyume kabisa na unavyofikiria, usipoenda kuifungua ndo shida zaidi" kwani itaonekana kitambulisho kile kile cha kwako (tapeli) ndo kimetumika tena kusajili line nyingine baada ya line ya kwanza kufungiwa.

Ondoa shaka kbs kwani hata wao (tigo) hawajui kbs inshu ya line yako kufungiwa, ukiwa na vielelezo hawana sababu ya kukataa kuifungua.
Wewe ni muongo sababu za kufungiwa zinakuwepo zimeandikwa kieletroniki ni lazima watajua sababu
 
Nilienda kusajili lain nyingne pia kitambulisho changu Kimezuiliwa kufanya usahi

Shukrani kwa ushauri ila kumbuka mpk kitambulisho changu Kimezuiliwa kufanya usajili Aina yoyote
Hapo maana yake unaitajika au una tuhumiwa kwa uhalifu wewe nenda tu kwenye kampuni iliyo sajili simu wakikagua hizo sms watakufungulia line kisha utaenda sehemu watakayo kuelekeza kufungua kitambulisho
 
Ivi TCRA hawafuatilii ata jinsi conversation ilivoanza mpk waone Mimi ndo tapeli na sie aliyentumia sms ya kitapeli kwa Mara ya kwanza?
Hapo wameona kama mlikuwa mnafundishana jinsi ya kutapeli
 
Habarini wana JamiiForums,

Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.

Mnamo wiki uliyopita hii nilipokea meseji kutoka kwa namba ngeni nisiyoitambua(tapeli),sms yenyewe ilikuwa ikinieleza kumtafta mganga Sanga ambaye ni mtaalamu wa dawa za jadi na ikaweka namba za mganga Sanga.

Baada ya sms iyo kunifikia Mimi nilimrudishia iyo iyo sms alontumia uyo tapeli kwenye namba ake iyo Kisha nikaachana nae.
Sasa kesho yake napata Taarifa kuwa laini yangu pamoja na Namba zangu za NIDA zimefungwa kutokana na kufanya utapeli/udanganyifu.

Sasa sielewei process ya kufatilia na kufungua Lain na kitambulisho changu kinaanzia wapi. Je,Ni NIDA,polisi,ama TCRA au Niende kwa Makao Makuu ya Mtandao husika?
Pole sana mkuu , kua makini kwenye kwenda kureport polisi wanaweza kukuweka chini ya ulinzi kwanza , polisi hawaeleweki , anza ni viongozi wa mtaa kisha kwa mtendaji ,kisha ndio uende huko polisi
 
Taahira mkubwa wewe, kwanini umetuma meseji ya kitapeli sasa? Maana hapo unadhibitishaje kwamba wewe si uliyetaka kufanya utapeli?ulituma ili iweje mpumbavu wewe?!

Anzia kwenye mtandao wako wa simu, maana wao mdio wamefunga, then mtandao wako ndio watafanya mawasiliano na wote wanaohusika
 
Kilichotokea ni namba yako imewasiliana na namba nyingine iliyowai kuripotiwa kuwa ni tapeli, (outomatic imejifunga) utaratibu ni ule ule, chukua kitambulisho chako cha nida, nenda ofisi za mtandao unaotumia wakufungulie line yako maisha yaendelee.

Kinyume kabisa na unavyofikiria, usipoenda kuifungua ndo shida zaidi" kwani itaonekana kitambulisho kile kile cha kwako (tapeli) ndo kimetumika tena kusajili line nyingine baada ya line ya kwanza kufungiwa.

Ondoa shaka kbs kwani hata wao (tigo) hawajui kbs inshu ya line yako kufungiwa, ukiwa na vielelezo hawana sababu ya kukataa kuifungua.
Sio kwamba imewasiliana, ni kwamba huyo tapeli amemripoti kwa kwa kumkomoa tu
 
Pole sana mkuu , kua makini kwenye kwenda kureport polisi wanaweza kukuweka chini ya ulinzi kwanza , polisi hawaeleweki , anza ni viongozi wa mtaa kisha kwa mtendaji ,kisha ndio uende huko polisi
Tena ukute kuna watu walisha tapeliwa na huyo aliye kutumia hiyo sms kwa huo mtindo hapo lazima kinuke kwa polisi watakuambia uwataje wenzako mlio fanikisha utapeli fulani ,maana kwa kutumiana hizo sms watasema mlikuwa mnafundishana utapeli ,[emoji1787][emoji1787]lazima watamwambia awaonyeshe huyo mwenye no ya kwanza kutuma sms
 
Kumb. Hutakiwi kutuma wala kusambaza ujumbe wowote wa UTAPELI, UCHOCHEZI na mengine yanayoendana na makosa ya mtandao
 
Kitendo cha ku reverse msg maana yake ni kushiriki kusambaza uhalifu, haijalishi ume reverse ilikotoka.

Ulichotakiwa kufanya baada ka kurushiwa msg hiyo, ni kuiripoti kwa namba za mtandaoni wanazozitoa mitandaoni mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Apa najutia tu makosa yangu ngja njipange apa njilipue tu niende Kama kunikamata Basi iwe ivyo
 
na namba ya nida? huyu aende tcra akajieleze tuuu maaana hao kampuni ya line hawatoweza kuifungua nida.
huyu amefanya kosa la wazi na lazima limgharimu.
Kuna mtu anamjua na ameamua kumfanyia ujinga. Mbona watu wengi hizo sms za utapeli wanazirusha kwa waliwatumia na hakuna kitu wanafanyiwa?

Tcra wanaweza ona kila kitu aende tu.
 
Msg inapoingia kwako huwa na tarehe na muda ulitumiwa unapoirudisha huwa tarehe na muda kama tarehe ni hiyohiyo basi muda zitapishana nenda polisI Katoe taarifa Baada ya hapo nenda ofisi ya mtandao husika
 
Hukamatwi ..

Msg ya Kwanza unayo ..waonyeshe..

Utafunguliwa..
 
Back
Top Bottom