Msaada: Laini yangu imefungiwa kwa kufanya hivi

Msaada: Laini yangu imefungiwa kwa kufanya hivi

mtuhumiwa anapowahi POLISI....... 😂 😂 😂 ,,,,Ukijichanganya lazima zikutoke.........matapeli wakikutumia lolote lile...... waambie asante mpenzi rose/amina/tabu....au binti maringo......ishia hapo.......
Ushauri wako kwangu Ni upi mkuu nfanyaje nzifungue ??
 
Sasa ndo nkienda kutaka kufunguliwa lain na kitambulisho changu ntakamatwa Kama Mimi ndiye tapeli au maelezo yangu na kielelezo Cha sms ya kitapeli nlotumiwa itasaidia?? (make bdo nina conversation nlizofanya nae)
Nenda katoe maelezo tuu hakuna namna
 
Ivi TCRA hawafuatilii ata jinsi conversation ilivoanza mpk waone Mimi ndo tapeli na sie aliyentumia sms ya kitapeli kwa Mara ya kwanza?
Wewe kwa nn uforwad sms ya kitapeli??
Inaamanisha unasambaza utapeli
 
Sijausambaza nmeurudisha kwa mhusika
Hilo ndiyo kosa usingetakiwa kumrudishia
Lazima uumie mpaka wakuelewe kuwa sio wewe unatumaga hizo SMS lazima ukae ndani kdg
Pole sana
 
Hilo ndiyo kosa usingetakiwa kumrudishia
Lazima uumie mpaka wakuelewe kuwa sio wewe unatumaga hizo SMS lazima ukae ndani kdg
Pole sana
Ntakaaje ndani wakati sms nlotumiwa na nlivoirudisha bdo ninazo kwenye simu yang sijazifuta?
 
Sawa sipo hapa kubishana na wewe
Fanya kile unachojisikia
Apo kubishana imetokea wapi nmekuuliza Kama watanikamata na vielelezo ninavyo?? Badala ya kunjibu unakimbilia kubishana!! Kama huna ushauri acha!
 
Kwa sasa wamekua wakali kinoma, line kibao zinafungiwa pamoja na namba za NIDA ndo maana walitaka tufute namba ambazo tumezisajilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejifunza, kuhusu kupelekwa Selo ndo bdo nawaza nikienda kuripoti japo ushahidi wa sms waliyonitumia pamoja na nilimrudishia bado upo ila Nchi yetu haieleweki hii Wanaweza kunigeukia Mimi.
Kitendo cha ku reverse msg maana yake ni kushiriki kusambaza uhalifu, haijalishi ume reverse ilikotoka.

Ulichotakiwa kufanya baada ka kurushiwa msg hiyo, ni kuiripoti kwa namba za mtandaoni wanazozitoa mitandaoni mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya sms iyo kunifikia Mimi nilimrudishia iyo iyo sms alontumia uyo tapeli kwenye namba ake iyo
Sasa mbona Sheria ipo wazi mzee tcra na polisi washasema n kosa kutuma ujumbe wowote mbaya au kusambaza taarifa za Uongo hvyo mwenyewe umekiri umetuma hvyo ushajitia hatiani.

Ingekuwa Ulaya: hapo unakesi Kama tatu za kujibu kwanini ambazo adhabu yake n kifungo, faini, na kuzuiwa kutumia mawasiliano kwa muda Kama 2years hiv Yan adhabu zote tatu kwa pamoja.

Mwisho ingekuwa Ulaya hata namba yako ya nida ingepata shida Sana kwenye huduma za malipo au kusafiri mana tayari ishaingia kwenye list ya wahalifu wa kimtandao.

NIDA: hii system watu wanaidharau sana hata kipindi kile Cha usajili nilikuwa nawaambia wazee wa mazabe au kuzamia nchi zawatu kuwa wasijiandikishe Mana akiweka tuu kidole hata uzamie wapi eti uchane karatasi ujidai n mkongo umekimbia Vita aisee ukiweka kidole tuu Mambo yote wazi
 
Habarini wana JamiiForums,

Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.

Mnamo wiki uliyopita hii nilipokea meseji kutoka kwa namba ngeni nisiyoitambua(tapeli),sms yenyewe ilikuwa ikinieleza kumtafta mganga Sanga ambaye ni mtaalamu wa dawa za jadi na ikaweka namba za mganga Sanga.

Baada ya sms iyo kunifikia Mimi nilimrudishia iyo iyo sms alontumia uyo tapeli kwenye namba ake iyo Kisha nikaachana nae.
Sasa kesho yake napata Taarifa kuwa laini yangu pamoja na Namba zangu za NIDA zimefungwa kutokana na kufanya utapeli/udanganyifu.

Sasa sielewei process ya kufatilia na kufungua Lain na kitambulisho changu kinaanzia wapi. Je,Ni NIDA,polisi,ama TCRA au Niende kwa Makao Makuu ya Mtandao husika?

hiyo kitu rahisi we nenda na sms aliokutumia huyo tapeli na uliomtumia yeye kamuone ofisa ktk kampuni ya mtaando uluotumia yeye atafuatilia yote na utafunguliwa number yako
 
Kosa ulilofanya ni kumrudishia ile sms,huyo tapeli amekuripoti tcra kuwa wewe ni tapeli kwa ushahidi wa hyo sms uliyomrudishia.
Si aende kwenye mtandao wa lain yake wataona sms ilitoka wapi kabla hajawafowardia
 
Lazima ile kwako kwa nn hukutoa taarifa tcra??
Kila siku wanatoa matangazo ripot namba za kitapeli ile zifungiwe sasa wewe jamaa amekuwahi kwa hiyo wewe ndiyo tapeli sasa
Kosa ulifanya ni kurudisha sms kwa tapel hiyo tapel alichofanya ametuma SMS aliyokumia wewe mwanzo tcra kwa sms wewe ndo umeonekana tapel sio yeye tena ndo maana wamefunga line yako na namba yako huwezi sajili line ya mitandao wowote hapa nnchin Tanzania labda uende Burundi na Burundi hawana mfumo kama wetu wao id unaitwa karanka muntu
 
Back
Top Bottom