Ushauri wako kwangu Ni upi mkuu nfanyaje nzifungue ??mtuhumiwa anapowahi POLISI....... π π π ,,,,Ukijichanganya lazima zikutoke.........matapeli wakikutumia lolote lile...... waambie asante mpenzi rose/amina/tabu....au binti maringo......ishia hapo.......
Nenda katoe maelezo tuu hakuna namnaSasa ndo nkienda kutaka kufunguliwa lain na kitambulisho changu ntakamatwa Kama Mimi ndiye tapeli au maelezo yangu na kielelezo Cha sms ya kitapeli nlotumiwa itasaidia?? (make bdo nina conversation nlizofanya nae)
Wewe kwa nn uforwad sms ya kitapeli??Ivi TCRA hawafuatilii ata jinsi conversation ilivoanza mpk waone Mimi ndo tapeli na sie aliyentumia sms ya kitapeli kwa Mara ya kwanza?
Hilo ndiyo kosa usingetakiwa kumrudishiaSijausambaza nmeurudisha kwa mhusika
Kama TCRA wanaweza kuamuru makampuni ya automate udakaji wa line za matapeli unaachaje kuunga mkono juhudi hizi kwa kusema tumefika pazuri.Kivipi Mkuu?
Ulitakiwa kuripoti namba hiyo kwa njia ya sms kuwataarifu makampuni husi ya simu. Hasa kampuni ya laini unayitumia.Sijausambaza nmeurudisha kwa mhusika
Sawa sipo hapa kubishana na weweNtakaaje ndani wakati sms nlotumiwa na nlivoirudisha bdo ninazo kwenye simu yang sijazifuta?
Kitendo cha ku reverse msg maana yake ni kushiriki kusambaza uhalifu, haijalishi ume reverse ilikotoka.Nimejifunza, kuhusu kupelekwa Selo ndo bdo nawaza nikienda kuripoti japo ushahidi wa sms waliyonitumia pamoja na nilimrudishia bado upo ila Nchi yetu haieleweki hii Wanaweza kunigeukia Mimi.
Sasa mbona Sheria ipo wazi mzee tcra na polisi washasema n kosa kutuma ujumbe wowote mbaya au kusambaza taarifa za Uongo hvyo mwenyewe umekiri umetuma hvyo ushajitia hatiani.Baada ya sms iyo kunifikia Mimi nilimrudishia iyo iyo sms alontumia uyo tapeli kwenye namba ake iyo
Habarini wana JamiiForums,
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Mnamo wiki uliyopita hii nilipokea meseji kutoka kwa namba ngeni nisiyoitambua(tapeli),sms yenyewe ilikuwa ikinieleza kumtafta mganga Sanga ambaye ni mtaalamu wa dawa za jadi na ikaweka namba za mganga Sanga.
Baada ya sms iyo kunifikia Mimi nilimrudishia iyo iyo sms alontumia uyo tapeli kwenye namba ake iyo Kisha nikaachana nae.
Sasa kesho yake napata Taarifa kuwa laini yangu pamoja na Namba zangu za NIDA zimefungwa kutokana na kufanya utapeli/udanganyifu.
Sasa sielewei process ya kufatilia na kufungua Lain na kitambulisho changu kinaanzia wapi. Je,Ni NIDA,polisi,ama TCRA au Niende kwa Makao Makuu ya Mtandao husika?
Si aende kwenye mtandao wa lain yake wataona sms ilitoka wapi kabla hajawafowardiaKosa ulilofanya ni kumrudishia ile sms,huyo tapeli amekuripoti tcra kuwa wewe ni tapeli kwa ushahidi wa hyo sms uliyomrudishia.
Mambo vp mrembo??Anza na ofisi ya W.E.Os
(Mtendaji kata). Mengine utamalizia kwa kuelekezwa nao.
Kosa ulifanya ni kurudisha sms kwa tapel hiyo tapel alichofanya ametuma SMS aliyokumia wewe mwanzo tcra kwa sms wewe ndo umeonekana tapel sio yeye tena ndo maana wamefunga line yako na namba yako huwezi sajili line ya mitandao wowote hapa nnchin Tanzania labda uende Burundi na Burundi hawana mfumo kama wetu wao id unaitwa karanka muntuLazima ile kwako kwa nn hukutoa taarifa tcra??
Kila siku wanatoa matangazo ripot namba za kitapeli ile zifungiwe sasa wewe jamaa amekuwahi kwa hiyo wewe ndiyo tapeli sasa