Msaada: Laini yangu imefungiwa kwa kufanya hivi

Apa najutia tu makosa yangu ngja njipange apa njilipue tu niende Kama kunikamata Basi iwe ivyo
Mkuu uliishaenda?

Halafu jambo usilolijua laweza kukutia hofu bure!

Ninavyoelewa mie, unafika kwenye ofisi za mitandao ya simu na shida hiyo inatanzuliwa dirishani ndani ya dk1.

Just kutoa maelezo mafupi ya "nifungulie nilifungiwa".
 
Hapan sikumpigia nilimrudishia tu iyo sms alintumia mimi
Mrejesho?

Ulienda polisi, ulienda NIDA kuomba kitambulisho kingine?

Ulikubaliwa kusajili namba zingine?

Namba yako ya mwanzo uliifungua
 
Ukienda unanyakwa.Kwakuwa line unayo piga kimya ,achana nayo
 
Sawa sipo hapa kubishana na wewe
Fanya kile unachojisikia
Hawa akina Kingai,Mahita na Jumanne na division IV zao hawatakupa muda wa kuonesha hizo meseji.Meseji zitafutwa na utapachikwa kwenye kesi ya ugaidi na utatajwa kuitwa Komandoo Moses Lijenje.Hapo Tena hata kama ni Mataga Itabidi tumuombe bwana Wakili msomi Peter mwana wa Kibatala aje kuokoa jahazi
 
Msg inapoingia kwako huwa na tarehe na muda ulitumiwa unapoirudisha huwa tarehe na muda kama tarehe ni hiyohiyo basi muda zitapishana nenda polisI Katoe taarifa Baada ya hapo nenda ofisi ya mtandao husika
hapo ni kwamba kawahiwa na tapeli,alichofanya kosa ni kumjibu tapeli kwa msg yake ya utapeli,tapeli akamuwahi kuripoti TCRA ndii maana akafungiwa
 
Habari mkuu vipi ulifanikiwa kufungua namba yako ya simu na nida ? Namimi nimepata tatizo Hilo
 
Alichofanya huyo tapeli ni kutuma namba yako TCRA na kuwaambia kuwa namba yako inatumika kutapeli, nao TCRA bila kujiridhisha wakafunga. Ingekuwa imefungwa na matapeli ningekuelekeza jinsi ya kuifungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…