Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
niliwahi kua na line ya mtanadao huo inaitwa Royal,Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex)...
Unatumia simu ya aina gani. ?Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex)
Laini hii niliyosajili leo haina ufanisi kabisa kwenye suala zima la kimtandao. Yaani ipo very slow kulinganisha na konokono. Nasikia kuna kitu inaitwa kuwezesha laini ya Halotel ili kuendana na simu. Kwa anayefahamu, msaada...
Unatumia simu ya aina gani. ?
Kuna baadhi ya simu hadi ufanye configuration manually hasa Samsung
Kifurushi hakijaisha? Kikawaida ulikua una login vipi!Chief-Mkwawa na wengine naombeni msaada router yangu ya halotel toka juzi inaniletea huu ujumbe wa ISDN/Account nimejaribu kutia user Name na password zote lkn bila bila wakuuView attachment 3020060