Mudy wa Ally Mkindi
New Member
- Jan 9, 2019
- 1
- 1
Duh mtaji huo.duh uwe na mzigo maana unatakiwa uwe na ofisi vifaa ushahidi wa mtaji na ujuzi madocument ya tra full na ada kama mil kumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mtaji huo.duh uwe na mzigo maana unatakiwa uwe na ofisi vifaa ushahidi wa mtaji na ujuzi madocument ya tra full na ada kama mil kumi
Be serious Kadi ya Chama chetu pendwa ina uhusiano gani na biashara ya mchanga? Kama una kitu cha kumuelimisha mwambie, kama huna basi PITA TU KWA AMANI!Kadi ya chama pendwa unayo? Kama jibu ni ndiyo basi nenda kapakie mchanga ukiwa kifua mbele
Bila shaka mko vizuri,
Nahitaji kujuzwa juu ya leseni ya kununulia madini, je gharama yake ni shilingi ngapi na niaina gani ya madini?
80-90Naomba kuuliza juu ya gharama ya kununua na kuuza gram ya dhahabu.
Sitaki kusema kuwa huo ni UONGO bali nasema SIYO KWELI kwani siyo adabu kumwambia mtu mzima MUONGO! Hii ni imani POTOFU! Hawa wazungu wanaotoboa kwenye sekta hii wana nini? Hawana mambo haya ya chaka chaka.......bradha. Biashara hii kama ile ya uvuvi na nyingine nyingi ambazo rasilimali ipo tu, bali ni nguvu yako, inahitaji utaalam na elimu pamoja na NIDHAMU ya hali ya juu sana kwenye hiyo kazi au hayo madini unayo chimba au kununua, vinginevyo ni shida kila siku.Jipange ila ukumbuke bila CHaka chaka chaka chaka chka kidogo kutoboa inaweza ikawa ngumu kidogo kwenye sector ya madini nilikuepo kwenye Gemstones Tunduru pia nikaenda Chunya kwenye Gold yaan kama ni kwa kumuomba tu MUNGU utapata ila ya kula sana si unajua MUNGU akunyimi ila ukitaka utembeleee FORTUNER faster maana ndio gari ya watu wa madini wanayoipenda hasa walioenda Mozambique lazima kidogo upite kule kushoto
Ukiangalia kwenye London Stock Exchange au ile ya New York Stock Exchange na ukipiga yale mahesabu, utaona ina angukia kati ya Tsh.85000 hadi Tsh.90000 kwa gram moja. Kama unataka kufanya biashara hii kwa sasa, ni vizuri upate contact za kutoka kwenye masoko ya dhahabu yaliya anzishwa hapa nchini hivi karibuni. Pale Chunya, Geita na sehemu nyingine. Kwa sasa biashara ya madini imekuwa wazi zaidi.Naomba kuuliza juu ya gharama ya kununua na kuuza gram ya dhahabu.
Ana maanisha Sh.80000 hadi 90000 kwa gram, au siyo wasaa9?80-90
Kiongozi nimeenda mpaka SHANTA kule chunya moja ya migod mikubwa sana hapa TZ yaan vitu vinavyofanyika uwez kuamini kafara za ajabu ajabu mno kule Arusha ndio usiseme na GEITA so mambo hayo uwezi ukasema et ni uongo yaan kwa 99.9% ya wanaotoboa kwenye sekta ya Madini na Kilimo Kafara na Ramli lazima zihusike lasivyo utakuwa unasindikiza tu wengine tua experience kubwa sana ya hzo vitu na hela tulipataga na zikaisha ndo maana tumeamua kujikita kwenye mambo mengine maana niliona mbeleni naweza kumkosea Mungu. Kuanzia Tunduru (Ngapa, mpka Kundu la nyani kama unapajua ni mwendo wa masaa12 kwa mguu kutokea ngapa kijijini kama ni mwendo wa kiume tena porini kule kuna toka madini mengi sana ila ni ya wizi eneo la mali asi...) Mto Muhesi ambayo sasa amepewa yule tajiri wa kule mgodi wa Spinel mahenge Morogoro Salim Almas, Nikaenda songea kwenye gemstone tena ( Mkako, makoro,ngemba mbili), nikateremka kule Chunya -makongorosi kwa bahati nilipata chance kuingia mpaka Shanta. Geita ndio kama nyumbani. sehemu zote hzo hakuna mahali nilipopita nikakuta sehem inatema madini au mnunuzi anaepiga pesa bila mambo hayo yaan wakat npo songea wazee wa kumwomba Mungu tulikuwa tunaishia kupata pesa za kawaida tu ikizid mil1 lazin wazee wanavunja mpak 60m wakat sisi ndio tulikuwa tunanunua madini bei nzuri.Sitaki kusema kuwa huo ni UONGO bali nasema SIYO KWELI kwani siyo adabu kumwambia mtu mzima MUONGO! Hii ni imani POTOFU! Hawa wazungu wanaotoboa kwenye sekta hii wana nini? Hawana mambo haya ya chaka chaka.......bradha. Biashara hii kama ile ya uvuvi na nyingine nyingi ambazo rasilimali ipo tu, bali ni nguvu yako, inahitaji utaalam na elimu pamoja na NIDHAMU ya hali ya juu sana kwenye hiyo kazi au hayo madini unayo chimba au kununua, vinginevyo ni shida kila siku.
Bei ya Dhahabu pale Chunya mpaka naondoka mwezi wa 12 ilikuwa 80,000 kwa gram moja ila ukitaka kupiga pesa kama umejizatitit kila sector zama vijiji vya mozambique kule madini kibao ila wenyeji ni washamba washamba sana yaan wamekaa kizezeta sana kuna jamaa yangu aliwapaga meticais (mitikashi watu wanapenda kusema kwa pronounciation) 5000 tu akapewa bonge la eneo mtoni jamaa akawakusanya Konde boys bongo akawapeleka kule aliziusanya Gold si mchezo ila muda kidogo. Au ingia tu ukapambane na Matajiri kwenye ulingo wa hapa hapa TZ ila ujue wabongo tuna roho ya korosho sana so hakuna anaependa ufanikiwe so lazima utakutana na changamoto za kufa mtu kama ni mtu wa imani mtangulize sana MUNGU kweli kweli na kama ni 50/50 chagua upande mmoja uende nayo vizuri ndio utatoboa.Ukiangalia kwenye London Stock Exchange au ile ya New York Stock Exchange na ukipiga yale mahesabu, utaona ina angukia kati ya Tsh.85000 hadi Tsh.90000 kwa gram moja. Kama unataka kufanya biashara hii kwa sasa, ni vizuri upate contact za kutoka kwenye masoko ya dhahabu yaliya anzishwa hapa nchini hivi karibuni. Pale Chunya, Geita na sehemu nyingine. Kwa sasa biashara ya madini imekuwa wazi zaidi.
Mwanzoni ilikuwa 50 elfu kwa sasa nasikia 80 elfu
Unachosema chaka chaka chaka ni kweli hiyo ipo na watu wanafanya ILA HAWAPATI UTAJIRI WA KUDUMU, hata wewe mwenyewe unakiri kuwa waliokuwa wakifanya hivyo kwa sasa wako HOI BIN TAABANI, WAMECHAKAA. Kafara, uchawi vyote vipo, ninachokataa mimi ni eti ni lazima uufanye ndio upate UTAJIRI HAPANA. Utapata wa muda tu. Wewe mwamini Mungu na uwe na elimu na utaalam (hata kama ni kidogo kiasi gani) kwenye eneo hilo na ufanye kazi kwa bidii utatoboa tu. Kuhusu hizo sample kusoama tofauti, ni suala la elimu tu, inawezekana aliye kuwa akipima aliwadanganya na hivyo kupata vipimo tofauti.Kiongozi nimeenda mpaka SHANTA kule chunya moja ya migod mikubwa sana hapa TZ yaan vitu vinavyofanyika uwez kuamini kafara za ajabu ajabu mno kule Arusha ndio usiseme na GEITA so mambo hayo uwezi ukasema et ni uongo yaan kwa 99.9% ya wanaotoboa kwenye sekta ya Madini na Kilimo Kafara na Ramli lazima zihusike lasivyo utakuwa unasindikiza tu wengine tua experience kubwa sana ya hzo vitu na hela tulipataga na zikaisha ndo maana tumeamua kujikita kwenye mambo mengine maana niliona mbeleni naweza kumkosea Mungu. Kuanzia Tunduru (Ngapa, mpka Kundu la nyani kama unapajua ni mwendo wa masaa12 kwa mguu kutokea ngapa kijijini kama ni mwendo wa kiume tena porini kule kuna toka madini mengi sana ila ni ya wizi eneo la mali asi...) Mto Muhesi ambayo sasa amepewa yule tajiri wa kule mgodi wa Spinel mahenge Morogoro Salim Almas, Nikaenda songea kwenye gemstone tena ( Mkako, makoro,ngemba mbili), nikateremka kule Chunya -makongorosi kwa bahati nilipata chance kuingia mpaka Shanta. Geita ndio kama nyumbani. sehemu zote hzo hakuna mahali nilipopita nikakuta sehem inatema madini au mnunuzi anaepiga pesa bila mambo hayo yaan wakat npo songea wazee wa kumwomba Mungu tulikuwa tunaishia kupata pesa za kawaida tu ikizid mil1 lazin wazee wanavunja mpak 60m wakat sisi ndio tulikuwa tunanunua madini bei nzuri.
Yaan bila mambo hayo utafanya ila uwe unanunua tu ukijiingiza kwenye maswala ya kuwekeza kwenye Kuchimba umeisha aisee. Marafiki zangu wengi wamekuwa broke hasa kwenye GOLD walikuwa wananunua Mawe wakipeleka Sample wanaona inaonyesha mpaka 3g lakini mzigo ukitoka wanakuta 0.4 wakala hasara mpaka sasa wamechakaa. Mambo haya yasikie tu kwa nje ukiingia ndio utajua ni afadhali uwe unanunua Gemstones ndogo ndogo sana. kuliko kujiingiza kichwa kichwa kwenye mambo usiyoyajua.
Labda tuanzie hapa unafanya shughuli zako sehemu gani?Ukipata ile SHERIA YA MADINI YA MWAKA 2010 utapata maajuzi huo; hata hivyo kwa kukurahishia kazi, ni hivi.
Unachosema chaka chaka chaka ni kweli hiyo ipo na watu wanafanya ILA HAWAPATI UTAJIRI WA KUDUMU, hata wewe mwenyewe unakiri kuwa waliokuwa wakifanya hivyo kwa sasa wako HOI BIN TAABANI, WAMECHAKAA. Kafara, uchawi vyote vipo, ninachokataa mimi ni eti ni lazima uufanye ndio upate UTAJIRI HAPANA. Utapata wa muda tu. Wewe mwamini Mungu na uwe na elimu na utaalam (hata kama ni kidogo kiasi gani) kwenye eneo hilo na ufanye kazi kwa bidii utatoboa tu. Kuhusu hizo sample kusoama tofauti, ni suala la elimu tu, inawezekana aliye kuwa akipima aliwadanganya na hivyo kupata vipimo tofauti.
Yote usemayo ni kweli, uchawi UPO KILA SEHEMU ambako ELIMU NI ZIRO. Wanatafuta short cut kwa waganaga ambao wengi ni matapeli na waongo wa kawaida tu! Hata humo maofisini hali ni hiyo hiyo tu, ulozi kwa kwenda mbele. Sasa wewe mwamini Mungu usiwe vuguvugu na kwa bidii yako na maarifa utatoboa tu. Mimi niko mtaani ila nina interest na hii sekta hivyo naisoma na kuifuatilia sana sana na pia ninao wadogo zangu wako machimboni huko Mbekenyela, Lindi na Tunduru na mmoja alisha kwenda hadi Mozambique kuchimba dhahabu lakini akarudi tupu!Labda tuanzie hapa unafanya shughuli zako sehemu gani?
Maana isije ikawa upo ofisini au ndo kwanza upo Mineral au Geology Eng UDOM au UDSM. Maana hayo ndio mambo ya wanaSUA wanakwambia ingia shambani wakati wanajua kabisa kilimo cha bongo mnufaika ni Dalali na mfanya biashara na sio mkulima mkulima kazi yake ni kuchoma tu pesa.
So unachosema kuwa utajiri huo ni wa muda mfupi kidogo nakataa alf nakubaliana na wewe kabisa wapo walikuwa wana pesa na wamekuwa maskini haswaa na wapo amabo kazi yao ndio hzo za kafara na mapak leo wana pesa za ajabu wamejaa Arusha kibao ata ukitaka nikupe List ntakupa pia sio hao tu ata kwa wafanyabiashara hayo mambo ndio yametawala lkuanzia wadogo mpaka wanaosumbua Nchi hii kwa pesa yaan kafara kwa ni kawaida. So kama una mwamini MUNGU ndio maana nimesema uwe kweli na imani utatoboa ila kama ni VUGUVUGU utakuwa msindikizaji tu TRUST me. Moja sector tz zinazoongoza kwa uchaw ni hzi utake usitake
1.MINERALS
2.Agriculture
3.Transportation
Hzo 3 ni hatar unaweza ukaishia kufa kwa pressure hzo zingine mambo hayo yapo japo hayaoenekani sna ila kwa hzo wazi wazi tunaziona kama hyo ya 2 kuna Tajiri nilishawahi kumsimamiaga project yake ya mpunga kule kapunga mbeya alikuwa na kama ekar 1200 hv yaan unakutana na vitu vya ajabu mpaka unashangaa.
Kuna mstaafu alichoma pesa yake kama m12 ikarud m5 na mzigo ulikuwa umezaa haswaa mpaka watu wanashangaa lakn achana na ngozi nyeus kilichomkuta atamani tena.
Maana muda mwingnine usipochezeshwa kizwa zwaa na wanunuz wenzako wachimbaji nao wanaweza wakakuingiza kingi maana wale nao mambo hayo ndio kama nyumbani. PIA kwenye GOLD kuna kitu kinaitwa KAKUMBA watu wamelia sana na wanaenda kulia mpaka leo unapewa mzigo utasema ndio yenyewe njoo uuze kwa Dealer ndo utashangaa mwenyewe nahyo wanapigwaga mpaka wanunuz wa muda mrefu maana kuna wataalam wanaitengeneza kiasi kwamba kwa haraka haraka ata uwe na uzoefu lazima wengi ukicheze
Leseni ya kununua na kuuza inaitwa Broker licence unaanzia halmashauri unachukua fomu ya leseni unajaza unaenda nayo TRA wanakukadiria kodi unalipia robo wanakupa tin na tax clearance certificate unatoa copy na kitambulisho na passort picha 3 unaenda madini unaomba form ya kuomba broker licence unapewa akaunti ukalipie 250,000/= naada ya kupeleka deposit slip unawapa siku moja unapewa fasta. auina ya madini unaandika yoyote usiandike dini maalumu mfano unataka tanzanite andika all gemstones ,unataka dhahabu weka all precious metals ,the wellcome to the business
Fomu ya halmashauri hii hapa http://barakaconsult.com/uploads/LESENI_YA_BIASHARA_en.pdf
NB: Kama unataka ya kuchimba kwa sasa zimesitishwa hadi itapoundwa tume ,usiskize maneno ya watu serikali iko so sapportive kwenye hii biashara ilimradi ufuate sheria tu na uwe na maarifa ya kutosha juu ya madini uliyoamua kufanyia kazi ,kama unaswali lolote usinifate inbox ulizia hapa hapa wafaidike vijana wengi.
Mkuu najua hii mada ya zamani lakini nataka kuuliza kidogo.duh uwe na mzigo maana unatakiwa uwe na ofisi vifaa ushahidi wa mtaji na ujuzi madocument ya tra full na ada kama mil kumi
Nami nasubiri majibu ya maswali yako, yamaweza kunipa mwanga juu ya biashara hiiMkuu najua hii mada ya zamani lakini nataka kuuliza kidogo.
1 Kama nataka kununua na kusafirisha nje ya nchi taratibu zipoje?
2 Kuna madini halisi na feki kifaa kipi unaweza kutambua halisia na feki.
3 Unaweza kutoa taratibu zote kuanzia mpaka kuweza kusafirisha nje ya nchi.
3 Hapa naongelea tanzanite,diamond na gold.
Nitashukuru sana
Unaweza kufanya ushirikina sana ukidhan ndo umekusaidia kupata au kukosa kwa kukosea kumbe ni kanuni halisi za kiutendaji kama ujuzi, juhudi, vinatoa matokeo. Ni sawa na kupewa dawa na mtu yeye ni mjinga wa kuamini inatibu na we mteja ni mjinga unaamin anajua kutibu. Na ukapona kwa sabab nyingine. Lazma umwamini. Ndo mana kuna wanaoroga weeee lakin hawapat matokeo ya kusudio lao.Kiongozi nimeenda mpaka SHANTA kule chunya moja ya migod mikubwa sana hapa TZ yaan vitu vinavyofanyika uwez kuamini kafara za ajabu ajabu mno kule Arusha ndio usiseme na GEITA so mambo hayo uwezi ukasema et ni uongo yaan kwa 99.9% ya wanaotoboa kwenye sekta ya Madini na Kilimo Kafara na Ramli lazima zihusike lasivyo utakuwa unasindikiza tu wengine tua experience kubwa sana ya hzo vitu na hela tulipataga na zikaisha ndo maana tumeamua kujikita kwenye mambo mengine maana niliona mbeleni naweza kumkosea Mungu. Kuanzia Tunduru (Ngapa, mpka Kundu la nyani kama unapajua ni mwendo wa masaa12 kwa mguu kutokea ngapa kijijini kama ni mwendo wa kiume tena porini kule kuna toka madini mengi sana ila ni ya wizi eneo la mali asi...) Mto Muhesi ambayo sasa amepewa yule tajiri wa kule mgodi wa Spinel mahenge Morogoro Salim Almas, Nikaenda songea kwenye gemstone tena ( Mkako, makoro,ngemba mbili), nikateremka kule Chunya -makongorosi kwa bahati nilipata chance kuingia mpaka Shanta. Geita ndio kama nyumbani. sehemu zote hzo hakuna mahali nilipopita nikakuta sehem inatema madini au mnunuzi anaepiga pesa bila mambo hayo yaan wakat npo songea wazee wa kumwomba Mungu tulikuwa tunaishia kupata pesa za kawaida tu ikizid mil1 lazin wazee wanavunja mpak 60m wakat sisi ndio tulikuwa tunanunua madini bei nzuri.
Yaan bila mambo hayo utafanya ila uwe unanunua tu ukijiingiza kwenye maswala ya kuwekeza kwenye Kuchimba umeisha aisee. Marafiki zangu wengi wamekuwa broke hasa kwenye GOLD walikuwa wananunua Mawe wakipeleka Sample wanaona inaonyesha mpaka 3g lakini mzigo ukitoka wanakuta 0.4 wakala hasara mpaka sasa wamechakaa. Mambo haya yasikie tu kwa nje ukiingia ndio utajua ni afadhali uwe unanunua Gemstones ndogo ndogo sana. kuliko kujiingiza kichwa kichwa kwenye mambo usiyoyajua.
🙏🙏🙏Leseni ya kununua na kuuza inaitwa Broker licence unaanzia halmashauri unachukua fomu ya leseni unajaza unaenda nayo TRA wanakukadiria kodi unalipia robo wanakupa tin na tax clearance certificate unatoa copy na kitambulisho na passort picha 3 unaenda madini unaomba form ya kuomba broker licence unapewa akaunti ukalipie 250,000/= naada ya kupeleka deposit slip unawapa siku moja unapewa fasta. auina ya madini unaandika yoyote usiandike dini maalumu mfano unataka tanzanite andika all gemstones ,unataka dhahabu weka all precious metals ,the wellcome to the business
Fomu ya halmashauri hii hapa http://barakaconsult.com/uploads/LESENI_YA_BIASHARA_en.pdf
NB: Kama unataka ya kuchimba kwa sasa zimesitishwa hadi itapoundwa tume ,usiskize maneno ya watu serikali iko so sapportive kwenye hii biashara ilimradi ufuate sheria tu na uwe na maarifa ya kutosha juu ya madini uliyoamua kufanyia kazi ,kama unaswali lolote usinifate inbox ulizia hapa hapa wafaidike vijana wengi.
✅✅✅Unachosema chaka chaka chaka ni kweli hiyo ipo na watu wanafanya ILA HAWAPATI UTAJIRI WA KUDUMU, hata wewe mwenyewe unakiri kuwa waliokuwa wakifanya hivyo kwa sasa wako HOI BIN TAABANI, WAMECHAKAA. Kafara, uchawi vyote vipo, ninachokataa mimi ni eti ni lazima uufanye ndio upate UTAJIRI HAPANA. Utapata wa muda tu. Wewe mwamini Mungu na uwe na elimu na utaalam (hata kama ni kidogo kiasi gani) kwenye eneo hilo na ufanye kazi kwa bidii utatoboa tu. Kuhusu hizo sample kusoama tofauti, ni suala la elimu tu, inawezekana aliye kuwa akipima aliwadanganya na hivyo kupata vipimo tofauti.