Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
yeahUko MORO mjini Au
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeahUko MORO mjini Au
Ova
madini ni sehemu tu... mimi nashughulika na mambo ya ardhi kwa ujumla wake..Poa unashulika na madini.....
Ova
Ok ....najua unazunguka sana na unakutana na mambo kama hayomadini ni sehemu tu... mimi nashughulika na mambo ya ardhi kwa ujumla wake..
nikweli... vipi una jishughulisha na hii biashara?Ok ....najua unazunguka sana na unakutana na mambo kama hayo
Sema kwa tz asilimia kubwa wanaogundua madini ni wafugaji,wakulima,wakata mbao ktk maeneo tofauti tofauti nchini
Ova
una dili na aina gani ya madini mkuu? una migodi...? wateja wako ni wakina nani hasa?Ndiyo chief
Ova
Mara nyingi huwa nanunua na kuuza kuchimba Ilikuwa zamani,kuchimba unachelewa alafu inahitaji mtaji mkubwa na garama znakuwa nyingi tuuna dili na aina gani ya madini mkuu? una migodi...? wateja wako ni wakina nani hasa?
Asante kwa kunjuza hilo, tupo pamoja.duh uwe na mzigo maana unatakiwa uwe na ofisi vifaa ushahidi wa mtaji na ujuzi madocument ya tra full na ada kama mil kumi
Uko vizuri ndugu,asante sana.Leseni ya kununua na kuuza inaitwa Broker licence unaanzia halmashauri unachukua fomu ya leseni unajaza unaenda nayo TRA wanakukadiria kodi unalipia robo wanakupa tin na tax clearance certificate unatoa copy na kitambulisho na passort picha 3 unaenda madini unaomba form ya kuomba broker licence unapewa akaunti ukalipie 250,000/= naada ya kupeleka deposit slip unawapa siku moja unapewa fasta. auina ya madini unaandika yoyote usiandike dini maalumu mfano unataka tanzanite andika all gemstones ,unataka dhahabu weka all precious metals ,the wellcome to the business
Fomu ya halmashauri hii hapa Barakaconsult.com
NB: Kama unataka ya kuchimba kwa sasa zimesitishwa hadi itapoundwa tume ,usiskize maneno ya watu serikali iko so sapportive kwenye hii biashara ilimradi ufuate sheria tu na uwe na maarifa ya kutosha juu ya madini uliyoamua kufanyia kazi ,kama unaswali lolote usinifate inbox ulizia hapa hapa wafaidike vijana wengi.
Kadi ya chama pendwa unayo? Kama jibu ni ndiyo basi nenda kapakie mchanga ukiwa kifua mbeleHbr zenu wadau naomba msaada wa kujua leseni ya kusafirisha mchanga wa kujengea.. jee kuna vibali au hatua yoyote ya kufuata ili nisisumbuliwe na hii biashara.
Naleta kwenu kwa hatua..View attachment 899716
TRA wanakukadiriaje kodi ilhali hujaanza biashara wala hujui turn over yake itakuaje?Leseni ya kununua na kuuza inaitwa Broker licence unaanzia halmashauri unachukua fomu ya leseni unajaza unaenda nayo TRA wanakukadiria kodi unalipia robo wanakupa tin na tax clearance certificate unatoa copy na kitambulisho na passort picha 3 unaenda madini unaomba form ya kuomba broker licence unapewa akaunti ukalipie 250,000/= naada ya kupeleka deposit slip unawapa siku moja unapewa fasta. auina ya madini unaandika yoyote usiandike dini maalumu mfano unataka tanzanite andika all gemstones ,unataka dhahabu weka all precious metals ,the wellcome to the business
Fomu ya halmashauri hii hapa http://barakaconsult.com/uploads/LESENI_YA_BIASHARA_en.pdf
NB: Kama unataka ya kuchimba kwa sasa zimesitishwa hadi itapoundwa tume ,usiskize maneno ya watu serikali iko so sapportive kwenye hii biashara ilimradi ufuate sheria tu na uwe na maarifa ya kutosha juu ya madini uliyoamua kufanyia kazi ,kama unaswali lolote usinifate inbox ulizia hapa hapa wafaidike vijana wengi.
The issue ni kuanzia kwanza TraTRA wanakukadiriaje kodi ilhali hujaanza biashara wala hujui turn over yake itakuaje?
Ndo madhaifu ya sheria yetu mkuuTRA wanakukadiriaje kodi ilhali hujaanza biashara wala hujui turn over yake itakuaje?
Kiwango cha kukadiriwa ni capital ambayo utaanza nayo. Hiyo ipo wazi huwezi ukafanya mchanganuo wa kodi mwenyewe..TRA wanakukadiriaje kodi ilhali hujaanza biashara wala hujui turn over yake itakuaje?